Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Sikuwahi kuamini kwamba Tanzania bado kuna Nyumba za udongo lakini huku Tanga unakutana nazo nyingi tu

Handeni na Korogwe walau Matajiri wa kichagga wamechangamsha

Huu mkoa uliathiriwa na siasa za Manamba enzi za Mkoloni

Bwashee Retired upo Tanga IPI tukuletee KADI? 😃
Sehemu yoyote ambapo wanaikumbatia sana CCM kuna umasikini wq kutisha. Kuna uhusiano mkubwa kati ya CCM na umasikini na ujinga.
 
Sikuwahi kuamini kwamba Tanzania bado kuna Nyumba za udongo lakini huku Tanga unakutana nazo nyingi tu

Handeni na Korogwe walau Matajiri wa kichagga wamechangamsha

Huu mkoa uliathiriwa na siasa za Manamba enzi za Mkoloni

Bwashee Retired upo Tanga IPI tukuletee KADI? 😃
Jo ina maaana zile nyumba za tembe kule Dodoma hujawahi kuziona?
 
Uswahili mwingi huko, kwanza wanaume walio oa wanawake wa Tanga tabu na shida wanazo tena zakutosha, mwanamke hamalizi wiki yupo kwao, kuna shughuli! Sasa huyo mke chinga!
Mmeamua kuwananga watani zangu ha ha ha

Na wakizaramo je ?!!
 
Kwenu Iringa kuna maendeleo gani. Niambie Iringa ukiacha zile squater za Mafinga ni wilaya ipi ina makao makuu yake yana hadhi ya mji (Town council?) Tanga wilaya ya Korogwe utalinganisha na wilaya ipi huko kwenu? Bado Handeni ni Town council. Tanga ni jiji, kale kamji kenu kanatakiwa kashushwe hadhi ni kadogo kamedumaa. We Tanga umefika wapi au unaishi kwa hisia! Iringa ingekuwa na maendeleo watoto wangekuwa na udumavu wa lishe? Mmeiga upumbavu kwa wachaga siyo? Nyie waandunje bado sana
75 % ya mabekitatu ni kutoka Iringa hiki ni kiashiria kuwa huko kuna umasikini wa kutisha
 
Back
Top Bottom