baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
1. Hio cement tu kuna Viwanda vitatu ama zaidi. Tanga ni kubwa kwa eneo na asilimia kubwa ni pori lakini haina Maendeleo...
. Tanga ni pakame sana..
. Tanga vyazo vikuu vya mapato ni ile bandari ndogo na Kiwanda cha cement, zaidi ya hapo hamna kiwanda kingine ni vinyumba tu vidogo vidogo..🙂 🙂
. Watu wa tanga ni wavivu kufanya kazi, kila nyumba inadaiwa mikopo ya uchochoroni( wanapenda bata lakini hawataki kufanya kazi nakufikia hatua kudumbukia kwenye mikopo isiyoeleweka)
2. Ukiskia Chokaa na Vitu vinavyotokana na Chokaa kama grout zinatoka Tanga
3. Pengine toka uzaliwe hujawahi tumia mafuta yasiyotoka Tanga, mi viwanda mikubwa ya mafuta kina TPPL na Mamujee yote yanatoka Tanga, kuanzia Vasteline, Baby care, Cocoa Butter na mafuta karibia yote maarufu ya Tanzania.
4. Kuna Tanga Fresh, Viwanda Vya Cheese na bakery industries kibao za Tambi, Halua, na zinginezo.
Inshort Tanzania nzima ni Dar na Mwanza ndio Zimepita Tanga Kiviwanda, pengine na Pwani kwa sasa sababu ya Kutanuka kwa Dar.