Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Siyo Iringa hata na Wilaya ya Same tu hapo, ni aibu tupuNimefika Tanga, ukweli Tanga masikini huwezi kulinganisha na Iringa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Iringa hata na Wilaya ya Same tu hapo, ni aibu tupuNimefika Tanga, ukweli Tanga masikini huwezi kulinganisha na Iringa
Ukiona sehemu CCM imekita mizizi ujue kuna wajinga wengi kama Tanga, Pwani, Singida, Tabora inapenda sehemu za watu wajinga wengiPale Tanga uswahili mwingi na uchawi. Waswahili wakamate wachache tu uwalishe vizuri watashawishi wenzao Kisha unapita bila kupingwa.
Mkuu ni chungu lakini dawa, wachaga wape heshima yao. Mnatia aibu haswa, miti ya matunda imejaa hakuna hata kiwanda kimoja cha juice, kutwa mnacheza bao na kulogana. Acheni uvivuEti matajiri ya kichaga, we bwege umejaa ukabila, wachaga washindwe kuchangamsha kwao wachangamshe kwa watu? We jinga lao
....wanakwenda katika "siri zao" comouflage "ngoma" ha ha haDaa sherehe zisizo isha birthday tu sherehe kubwa mme ajipikiage mwenyewe
Hapo umenifumbua macho huu umbeya lazima niufikishe😄....wanakwenda katika "siri zao" comouflage "ngoma" ha ha ha
Umewahi ona mchaga mkulima, mfugaji, mvuvi? Kwa taarifa yako hakuna kabila wavivu km wachaga. Wachaga ni wachuuzi si wazalishaji.Mkuu ni chungu lakini dawa, wachaga wape heshima yao. Mnatia aibu haswa, miti ya matunda imejaa hakuna hata kiwanda kimoja cha juice, kutwa mnacheza bao na kulogana. Acheni uvivu
Ha ha ha ha USINITAJE HUKO....naogopa zongo na mwangeni.....Hapo umenifumbua macho huu umbeya lazima niufikishe😄
Iringa na Njombe zinaongoza kwa ulevi Tanzania tena ule wa pombe za kienyeji..Iringa ni mtaa usilinganishe na Tànga,kamji kana watu laki moja na nusu na vihoteli uchwara
Wachaga mnapenda kuvimba tu na mnaamini bila nyinyi hakuna maendeleo!Tanga kuna wajinga wengi sn, Lushoto, Handeni na Korogwe kuna wachaga wa kutosha, wenyeji ni wajinga haswa hawana akili, ndiyo maana na CCM ina wapenda haswa
Ha ha ha ha kumbe eee ?!!Wachaga mnapenda kuvimba tu na mnaamini bila nyinyi hakuna maendeleo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasukuma mikokoteni wote wa Kariakoo na masoko yote ya DSM wanatokea Tanga
Wewe utakuwa mwendawazimu, kuna mchaga siyo mkulima au mfugaji? sema wanafunga kisasa siyo kienyejiUmewahi ona mchaga mkulima, mfugaji, mvuvi? Kwa taarifa yako hakuna kabila wavivu km wachaga. Wachaga ni wachuuzi si wazalishaji.
Ni mshamba pekee naweza mdharau msuma tolori au makuli wa DarNi wasambaa and trust me hio kazi ni above average kwa malipo kwa Mtanzania.
Msukuma mkokoteni na wabeba mizigo wengi wanalaza 20-30K kwa siku atleast hapa Kkoo.
hii hela ni zaidi ya Take home ya Tra, Mwalimu, Wahasibu, Hr Na wafanyakazi wengi wa serikalini, nafahamu maafisa Kata na Tarafa hawapati hio hela Take home, inakaribiana na hela ya Daktari.
So kwa wao kujipatia kipato cha halali bila kufanya ufisadi kikubwa hivyo ni mfano wa kuigwa kabisa.
Tanga hakuna umaskiniSikuwahi kuamini kwamba Tanzania bado kuna Nyumba za udongo lakini huku Tanga unakutana nazo nyingi tu
Handeni na Korogwe walau Matajiri wa kichagga wamechangamsha
Huu mkoa uliathiriwa na siasa za Manamba enzi za Mkoloni
Bwashee Retired upo Tanga IPI tukuletee KADI? 😃
Hakuna aliyesema wachaga pekee nachosema ni kwamba wachaga siyo wavivu, sasa wachaga utalinganisha na watu wa Tanga mkuu?Wachaga mnapenda kuvimba tu na mnaamini bila nyinyi hakuna maendeleo!
Hahaha Ni kweli kabisaUkiona sehemu CCM imekita mizizi ujue kuna wajinga wengi kama Tanga, Pwani, Singida, Tabora inapenda sehemu za watu wajinga wengi
Hovyo kabisaHahaha Ni kweli kabisa
Wafungueni akili hao, tatizo Ni mabishi mnoHovyo kabisa
Kabisa mkuuWafungueni akili hao, tatizo Ni mabishi mno