Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Eti matajiri ya kichaga, we bwege umejaa ukabila, wachaga washindwe kuchangamsha kwao wachangamshe kwa watu? We jinga lao
Mkuu ni chungu lakini dawa, wachaga wape heshima yao. Mnatia aibu haswa, miti ya matunda imejaa hakuna hata kiwanda kimoja cha juice, kutwa mnacheza bao na kulogana. Acheni uvivu
 
Mkuu ni chungu lakini dawa, wachaga wape heshima yao. Mnatia aibu haswa, miti ya matunda imejaa hakuna hata kiwanda kimoja cha juice, kutwa mnacheza bao na kulogana. Acheni uvivu
Umewahi ona mchaga mkulima, mfugaji, mvuvi? Kwa taarifa yako hakuna kabila wavivu km wachaga. Wachaga ni wachuuzi si wazalishaji.
 
Ni wasambaa and trust me hio kazi ni above average kwa malipo kwa Mtanzania.

Msukuma mkokoteni na wabeba mizigo wengi wanalaza 20-30K kwa siku atleast hapa Kkoo.

hii hela ni zaidi ya Take home ya Tra, Mwalimu, Wahasibu, Hr Na wafanyakazi wengi wa serikalini, nafahamu maafisa Kata na Tarafa hawapati hio hela Take home, inakaribiana na hela ya Daktari.

So kwa wao kujipatia kipato cha halali bila kufanya ufisadi kikubwa hivyo ni mfano wa kuigwa kabisa.
Ni mshamba pekee naweza mdharau msuma tolori au makuli wa Dar
 
Sikuwahi kuamini kwamba Tanzania bado kuna Nyumba za udongo lakini huku Tanga unakutana nazo nyingi tu

Handeni na Korogwe walau Matajiri wa kichagga wamechangamsha

Huu mkoa uliathiriwa na siasa za Manamba enzi za Mkoloni

Bwashee Retired upo Tanga IPI tukuletee KADI? 😃
Tanga hakuna umaskini
 
Back
Top Bottom