isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
- Thread starter
-
- #41
Kizazi hiki cha sasa uzao wake upo juu sanaKarne nne Mbona ni ndogo sana
Kama tunajua kuwa waligundua fuvu
Olduvai gorge
Hapo ni miaka mingi sana
Na Kuna watu pia wa Later Stone Age kama miaka 10,000 iliyopita kuna watu walikuwa wanadunda tu Mbona
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sawa mkuuNi vyema kusema kuweji wa Pwani au Morogoro asili yao ni Senegal. Huwa siamini katika Makabira na Ukabira kama utambulisho.
Bravo, mkuu. We good! Nakuelewa sana na vitimbi vyako humu 😃Sawa mkuu
Yeaha mkuuBravo, mkuu. We good! Nakuelewa sana na vitimbi vyako humu 😃
Kizazi hiki cha sasa uzao wake upo juu sana
Wanyaturu wa mkoani Singida wametokea Ethiopia, tena kama sikosei ni karne ya 18. Siku nikipata nafasi nitaandika historia nzima, nina chapishi la hii historia. Waliweka makazi sehemu mbalimbali, kama Mwanza na Shinyanga , kabla hawaja settle SingidaNeanderthal man walitokea Africa kwenda kaskazin ya Dunia Ulaya. Na weupe wote Duniani wana nasaba zao,isipokuwa mweusi tu.
Watanzania tumetokea cameroon hivi ni kweli?
Mbona Ethiopia haitajwi km chanzo cha mtanzania mweusi na iko hapo juu tu pua na mdomo?
Iliiitwa Cush land na imekuwepo tangu enzi za Deluge. Kuliko hata Ulaya ya kale.
Ni nchi pekee barani haikutawaliwa na Mkoloni, kifupi haikuchafuliwa na kizazi cha weupe.
Asilimia 87 ya wakaazi ni wabantu pure! Ilitambaa mpaka Zimbawe kabla ya Berlin conference.
Kwa nini tusitoke Cush hapo krb. Badala yake tutoke kureee mbali. Msitu wa congo tulipitaje.
Kwani wa-cush hawakufanya biashara ya watumwa? Wkt lilikuwa Dola huru?
Tanzania tunaongezeka sana tuko million 57, kutoka uhuru million 12 .
Wakati Mjermani anakuja tulikuwa laki 2 tu. Ndiyo maana wanaamini walivumbua Mlima kilimanjaro na kuweka kwenye record.
Wazungu walituficha tusijue tulipo toka kabisa!
Kiherehere chetu tukapiga kelele Masai walikwepo iweje wagundue wao? Tuka wafungua akili wakarekebisha. Eti ikawa sasa mzungu wa kwanza.
Siyo wabantu wa cush pure mkuuNeanderthal man walitokea Africa kwenda kaskazin ya Dunia Ulaya. Na weupe wote Duniani wana nasaba zao,isipokuwa mweusi tu.
Watanzania tumetokea cameroon hivi ni kweli?
Mbona Ethiopia haitajwi km chanzo cha mtanzania mweusi na iko hapo juu tu pua na mdomo?
Iliiitwa Cush land na imekuwepo tangu enzi za Deluge. Kuliko hata Ulaya ya kale.
Ni nchi pekee barani haikutawaliwa na Mkoloni, kifupi haikuchafuliwa na kizazi cha weupe.
Asilimia 87 ya wakaazi ni wabantu pure! Ilitambaa mpaka Zimbawe kabla ya Berlin conference.
Kwa nini tusitoke Cush hapo krb. Badala yake tutoke kureee mbali. Msitu wa congo tulipitaje.
Kwani wa-cush hawakufanya biashara ya watumwa? Wkt lilikuwa Dola huru?
Tanzania tunaongezeka sana tuko million 57, kutoka uhuru million 12 .
Wakati Mjermani anakuja tulikuwa laki 2 tu. Ndiyo maana wanaamini walivumbua Mlima kilimanjaro na kuweka kwenye record.
Wazungu walituficha tusijue tulipo toka kabisa!
Kiherehere chetu tukapiga kelele Masai walikwepo iweje wagundue wao? Tuka wafungua akili wakarekebisha. Eti ikawa sasa mzungu wa kwanza.
Sngii umeshaandika? Naisubiri kwa hamuWanyaturu wa mkoani Singida wametokea Ethiopia, tena kama sikosei ni karne ya 18. Siku nikipata nafasi nitaandika historia nzima, nina chapishi la hii historia. Waliweka makazi sehemu mbalimbali, kama Mwanza na Shinyanga , kabla hawaja settle Singida
Sent using Jamii Forums mobile app
Asili ya watu wa kale walikuwa watu wanaoishi kwa kuhama hama na ndiyo maana makundi mbalimbali yalikuja kutoka sehemu mbalimbali kama cameroon na EthiopiaWakazi walikuwepo. Usidanganywe na wanaosema ziwa la Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu kwa mfano. Jiulize nani walichora michoro ya pangoni kule Kondoa miaka elfu thelasini iliyopita?
View attachment 1358018
Huenda; kwa hiyo huna uhakika....huenda waliochora michoro yapangoni ya kondoa huenda hawana nasaba na watanganyika wa leo...
Unafahamu msafiri na mwanazuoni Ibn Battuta alipotembelea Kilwa 1328-30 (karne saba zilizopita) alikuta mji na makazi makubwa huko, na magofu ya huo mji yapo mpaka leo? Inapaswa urudi tena shule kujifunza historia ya nchi yako vizuri.
Asili ya watu wa kale walikuwa watu wanaoishi kwa kuhama hama na ndiyo maana makundi mbalimbali yalikuja kutoka sehemu mbalimbali kama cameroon na Ethiopia
Kwa point hiyohiyo nafikiri kuna watu waliwahi kuwepo karne nyingi na badae nao wakahama kwenda sehemu zingine za afrika ,haiingii akilini kuwa Tanganyika ilikuwa ikipokea watu tuuu halafu wote wakae bila kutoka ebu angalia mfano wa dola zilizowahi kuwa na nguvu zamani mfano mji wa kilwa uliopo mkoani Lindi mwaka 1300's,ulikuwa mji ambao ulikuwa na wakazi wake,na ulichangamka kuliko yote Tanganyika tungetegemea leo kilwa lingekuwa jiji kuu lakini dola ilianguka na mji kusambaratika na watu walihama ndo maana kilwa ya leo ipo kama makumbusho tuu
So naamini kbs Kuna watu waliwahi kuwepo Tanganyika karne nyingi tuu na walihamia maeneo mengine na huenda waliochora michoro yapangoni ya kondoa huenda hawana nasaba na watanganyika wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wasenegal asili yao ni wapi?Wapogoro asili yao ni Senegal
Ndio alivyokuambia sio?Huko alikuta waarabu na wa Persia sio wabantu
Umejuaje hili?Wapogoro asili yao ni Senegal
Wazarame ni Waluguru waliohamia Pwani, ndio maana ya Kuzarame Kilugulu, Wazaramo, wakwele na Walugulu ni kabila moja.Hapana
Kwa kuwa kabila lilianza kabla hata ya kuwapo kwa huo mkoa.
Mfano wazaramo na walugulu wanafanana kwa mengi lakini wapo kwenye mikoa miwili tofauti