Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu

Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu

Karne nne Mbona ni ndogo sana
Kama tunajua kuwa waligundua fuvu
Olduvai gorge
Hapo ni miaka mingi sana
Na Kuna watu pia wa Later Stone Age kama miaka 10,000 iliyopita kuna watu walikuwa wanadunda tu Mbona

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kizazi hiki cha sasa uzao wake upo juu sana
 
Neanderthal man walitokea Africa kwenda kaskazin ya Dunia Ulaya. Na weupe wote Duniani wana nasaba zao,isipokuwa mweusi tu.

Watanzania tumetokea cameroon hivi ni kweli?
Mbona Ethiopia haitajwi km chanzo cha mtanzania mweusi na iko hapo juu tu pua na mdomo?

Iliiitwa Cush land na imekuwepo tangu enzi za Deluge. Kuliko hata Ulaya ya kale.

Ni nchi pekee barani haikutawaliwa na Mkoloni, kifupi haikuchafuliwa na kizazi cha weupe.

Asilimia 87 ya wakaazi ni wabantu pure! Ilitambaa mpaka Zimbawe kabla ya Berlin conference.

Kwa nini tusitoke Cush hapo krb. Badala yake tutoke kureee mbali. Msitu wa congo tulipitaje.

Kwani wa-cush hawakufanya biashara ya watumwa? Wkt lilikuwa Dola huru?

Tanzania tunaongezeka sana tuko million 57, kutoka uhuru million 12 .

Wakati Mjermani anakuja tulikuwa laki 2 tu. Ndiyo maana wanaamini walivumbua Mlima kilimanjaro na kuweka kwenye record.

Wazungu walituficha tusijue tulipo toka kabisa!

Kiherehere chetu tukapiga kelele Masai walikwepo iweje wagundue wao? Tuka wafungua akili wakarekebisha. Eti ikawa sasa mzungu wa kwanza.
 
Wanyaturu wa mkoani Singida wametokea Ethiopia, tena kama sikosei ni karne ya 18. Siku nikipata nafasi nitaandika historia nzima, nina chapishi la hii historia. Waliweka makazi sehemu mbalimbali, kama Mwanza na Shinyanga , kabla hawaja settle Singida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo wabantu wa cush pure mkuu

Sngii umeshaandika? Naisubiri kwa hamu
 
Wakazi walikuwepo. Usidanganywe na wanaosema ziwa la Tanganyika "lilivumbuliwa" na wazungu kwa mfano. Jiulize nani walichora michoro ya pangoni kule Kondoa miaka elfu thelasini iliyopita?
View attachment 1358018
Asili ya watu wa kale walikuwa watu wanaoishi kwa kuhama hama na ndiyo maana makundi mbalimbali yalikuja kutoka sehemu mbalimbali kama cameroon na Ethiopia

Kwa point hiyohiyo nafikiri kuna watu waliwahi kuwepo karne nyingi na badae nao wakahama kwenda sehemu zingine za afrika ,haiingii akilini kuwa Tanganyika ilikuwa ikipokea watu tuuu halafu wote wakae bila kutoka ebu angalia mfano wa dola zilizowahi kuwa na nguvu zamani mfano mji wa kilwa uliopo mkoani Lindi mwaka 1300's,ulikuwa mji ambao ulikuwa na wakazi wake, na ulichangamka kuliko yote Tanganyika tungetegemea leo kilwa lingekuwa jiji kuu lakini dola ilianguka na mji kusambaratika na watu walihama ndo maana kilwa ya leo ipo kama makumbusho tu

So naamini kbs Kuna watu waliwahi kuwepo Tanganyika karne nyingi tuu na walihamia maeneo mengine na huenda waliochora michoro yapangoni ya kondoa huenda hawana nasaba na watanganyika wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu kuwa na idadi ya watu milioni 8 mwaka 1961 haiwezi kuwa na mashiko sana

Hata nyakati zimebadilika, kasi ya kuzaa imeongezeka, hatuwezi kulinganisha kasi ya wakati wa maadili, wakati ambao mtu kujamiiana ni mpaka afikishe Miaka 30 na achaguliwe mchumba kwa process maalum na wazazi na kizazi cha sasa ambacho ngono ni kitu gani bwana

Kwahiyo pengine idadi ndogo ni kutokana na kasi ndogo ya kuzaana na maisha ya kuhama hama

Nimesikia mtoa post ni PHD Holder, zamani niliitamani sana hii level ya kielimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu msafiri na mwanazuoni Ibn Battuta alipotembelea Kilwa 1328-30 (karne saba zilizopita) alikuta mji na makazi makubwa huko, na magofu ya huo mji yapo mpaka leo? Inapaswa urudi tena shule kujifunza historia ya nchi yako vizuri.

Huko alikuta waarabu na wa Persia sio wabantu
 
Asili ya watu wa kale walikuwa watu wanaoishi kwa kuhama hama na ndiyo maana makundi mbalimbali yalikuja kutoka sehemu mbalimbali kama cameroon na Ethiopia
Kwa point hiyohiyo nafikiri kuna watu waliwahi kuwepo karne nyingi na badae nao wakahama kwenda sehemu zingine za afrika ,haiingii akilini kuwa Tanganyika ilikuwa ikipokea watu tuuu halafu wote wakae bila kutoka ebu angalia mfano wa dola zilizowahi kuwa na nguvu zamani mfano mji wa kilwa uliopo mkoani Lindi mwaka 1300's,ulikuwa mji ambao ulikuwa na wakazi wake,na ulichangamka kuliko yote Tanganyika tungetegemea leo kilwa lingekuwa jiji kuu lakini dola ilianguka na mji kusambaratika na watu walihama ndo maana kilwa ya leo ipo kama makumbusho tuu
So naamini kbs Kuna watu waliwahi kuwepo Tanganyika karne nyingi tuu na walihamia maeneo mengine na huenda waliochora michoro yapangoni ya kondoa huenda hawana nasaba na watanganyika wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo ni kweli, yawezekana eneo la tanganyika liliwahi ishi watu wa jamii nyengine huko nyuma, lakini kwa watanzania wa sasa asilimia 90% ya makabila yalokuepo saivi hayazidi miaka 350 nyuma.
 
Hapana
Kwa kuwa kabila lilianza kabla hata ya kuwapo kwa huo mkoa.

Mfano wazaramo na walugulu wanafanana kwa mengi lakini wapo kwenye mikoa miwili tofauti
Wazarame ni Waluguru waliohamia Pwani, ndio maana ya Kuzarame Kilugulu, Wazaramo, wakwele na Walugulu ni kabila moja.
 
Back
Top Bottom