Asili ya watu wa kale walikuwa watu wanaoishi kwa kuhama hama na ndiyo maana makundi mbalimbali yalikuja kutoka sehemu mbalimbali kama cameroon na Ethiopia
Kwa point hiyohiyo nafikiri kuna watu waliwahi kuwepo karne nyingi na badae nao wakahama kwenda sehemu zingine za afrika ,haiingii akilini kuwa Tanganyika ilikuwa ikipokea watu tuuu halafu wote wakae bila kutoka ebu angalia mfano wa dola zilizowahi kuwa na nguvu zamani mfano mji wa kilwa uliopo mkoani Lindi mwaka 1300's,ulikuwa mji ambao ulikuwa na wakazi wake,na ulichangamka kuliko yote Tanganyika tungetegemea leo kilwa lingekuwa jiji kuu lakini dola ilianguka na mji kusambaratika na watu walihama ndo maana kilwa ya leo ipo kama makumbusho tuu
So naamini kbs Kuna watu waliwahi kuwepo Tanganyika karne nyingi tuu na walihamia maeneo mengine na huenda waliochora michoro yapangoni ya kondoa huenda hawana nasaba na watanganyika wa leo
Sent using
Jamii Forums mobile app