Wewe ndio umemfahamu vizuri sio?
kijana wa lumumba naona umeamsha mashetani yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio umemfahamu vizuri sio?
Hakuna cha lumumba wala nini. Jibu swali: wewe ndio umemuelewa vizuri mleta mada sio?kijana wa lumumba naona umeamsha mashetani yako
Hakuna cha lumumba wala nini. Jibu swali: wewe ndio umemuelewa vizuri mleta mada sio?
Hakuna cha lumumba wala nini. Jibu swali: wewe ndio umemuelewa vizuri mleta mada sio?
Na mimi nimemuelewa kiupande wangu; sasa unabisha nini?nimemfahamu kiupande wangu, sasa siijui wewe tatizo lako linatoka wapi
BuzaNa wasenegal asili yao ni wapi?
Karne nne zilizopita, thats 400 years ago!Tanganyika takribani karne 4 zilizopita haikuwa na mwenyewe, haikukalika and was purely a virgin land same goes to Namibia (South West Africa) and Cameroon.
The secret behind this ni sababu ya Tanganyika "at that time" ilikuwa ni msitu, maziwa na vito. Pia Cameroon ilikuwa hivyo hivyo while Namibia ikiwa jangwa.
Taratibu watu walianza kujisogeza karne 2 ziliyopita hadi kufika Tanganyika at that time ikiwa na territory ya Rwanda-Urundi watu wengi walitokea Kaskazini Magharibi na Southern Part (Rhodesia) huku Eastern part walitokea Arabian Peninsula na visiwa vya bahari ya Hindi na India pia.
Hadi ujio wa Germany, Tanzania ilikuwa na wahamiaji na watu wachache sana walioloea maeneo ya Southern Part's, North Eastern Part na Northern Western Part nikimaanisha maeneo yanayotambulika kwa sasa kama Tanga, Mbeya, Coast and Sanzibar pia Rwanda na Burundi.
Tactically Tabora ni mji uliotengenezwa at the time na Germany. Huku walowezi waliendelea hadi Walvis Bay, Rehoboth na hadi kufika Windhoek, Namibia. Same kwa Cameroon wali-emerge maeneo ya Adjou.
Ukihitaji kufahamu hili haitaji kuwa PhD holder bali jiulize Tanganyika, Rwanda-Urundi na Sanzibar 1961 ilikuwa na wakazi takribani Million 8.9
Tanganyika (Tanzania) haina wenyewe hii inatokana na tafiti yangu kuonesha maajabu ya watu wa Tanzania kuwa different in type niseme tu ni Spices za watu tofauti.
Utaweza kuona Nigeria ikiwa na watu Million 54 while Southern Africa ikiwa na watu Million 34 back in the days. Utaona Eastern Side haikuwa na watu kabisa.
Karibu,
Wewe umetafiti nini?Huyu "mtafiti" uchwara sijui katokea wapi.
Tanganyika oyee,ilikuwapo ,ipo hadi leo na kesho.Huyu "mtafiti" uchwara sijui katokea wapi.
Anakiuka misingi ya viwavi jeshi kwa kutambua uwepo waTanganyika.kijana wa lumumba naona umeamsha mashetani yako
Sijatafiti kitu. Na wewe umetafiti nini?Wewe umetafiti nini?
Unajisumbua tu wewe kijakazi wa nyang'au.Anakiuka misingi ya viwavi jeshi kwa kutambua uwepo waTanganyika.
Karne nne zilizopita, thats 400 years ago!
Mkuu kweli elimu yako ya kata na ya siku hizi imeshuka sana,
Kwa hiyo michoro ya kwenye miamba huko Kondoa Irangi na mifupa ya Olduvai Gorge yenye miaka mamilioni ni hadithi za kutungwa?
Alafu unweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa mbunge, tutakuwa tumekwisha!
Mkuu unaongelea historia iliyoandikwa na mzungu mbayo wewe ndio mejikita nayo.Hoja kuu ni hii, zaidi ya 90% ya makabila yaliopo sasa Tanganyika haykuepo zaidi ya miaka 400 nyuma na huo nii uhalisia. Kila mtu alifanyie research kabila lake atapata jibu.
Kuhusu kuwa kuna reference za ki science za miaka zaidi ya elfu nyuma kuwa kulikua na watu hilo linawezekana. kwamba walikuepo watu na baadae wakaondoka kwani hayo yalikua ndio maisha ya zama hizo hasa africa yakua kukaa sehemu baadae wakahama nakuhamia maeneo mengine.
Mkuu unaongelea historia iliyoandikwa na mzungu mbayo wewe ndio mejikita nayo.
Prehistoric Tanganika ilikuwepo na watu walikuwepo ingawaje si kwa mipaka hii tunayoiona.
Uthibitisho wa kuwepo wtanganyika wa miaka zaidi ya milioni 2 nyuma ni kam ilivyogunguliwa mifupa ya watu wa kale huko Olduvai Gorge kama nilivyosema.
Vile vile rock paintings za Kondoa Irangi.
View attachment 1399885
Michoro hii imekisiwa kuwepo zaidi ya miaka 2000 hadi 50,000 iliyopita.
Unahitaji uthibitisho gani zaidi ya huu kuwa tupo na tulikuwepo?
Naendelea kutia machozi. Bwana, miaka milioni? Anachosema huyu mleta mada si kweli, lakini akisema "Tanganyika hakuna watu miaka 400 iliyopita" si kweli lakini anafikia ukweli zaidi kuliko wewe ukisema eti michoro ya Kondoa Irangi ni miaka mamilioni!Karne nne zilizopita, thats 400 years ago!
Mkuu kweli elimu yako ya kata na ya siku hizi imeshuka sana,
Kwa hiyo michoro ya kwenye miamba huko Kondoa Irangi na mifupa ya Olduvai Gorge yenye miaka mamilioni ni hadithi za kutungwa?
Alafu unweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa mbunge, tutakuwa tumekwisha!
Naendelea kutia machozi. Bwana, miaka milioni? Anachosema huyu mleta mada si kweli, lakini akisema "Tanganyika hakuna watu miaka 400 iliyopita" si kweli lakini anafikia ukweli zaidi kuliko wewe ukisema eti michoro ya Kondoa Irangi ni miaka mamilioni!
Hakuna anayejua kuhesabu miaka katika uwanja huu???
Hivi sawa, lakini uliunganisha yote katika sentensi moja na kutaja miaka milioni. Tena Olduvai hawakuwa Homo sapiens. Hakuna uthibitisho kwamba hao walioacha nyayo walikuwa mababu zetu.Michoro ya Kondoa Irangi ni miaka karibia 2000, wakati mifupa ya Oduvai Gorge ni miaka milioni 1.5 hadi 2,5 iliyopita.
Google habari hiyo mwenyewe.