GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #21
Mkuu, ndivyo ilivyokuwa? Mbona hatukufundishwa hayo mashuleni?Sii kweli!, baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Manowari za Uingereza zilitia nanga Mombasa tayari kuivamia Zanzibar, kuikomboa. Karume akaja kwa Nyerere kuomba ulinzi, ndipo, Nyerere akamshauri Karume tuungane kuwa nchi moja, Karume akajibu hata leo, wewe Rais mimi Makamo.
Lakini wewe unayaonaje hayo mapinduzi, yalikuwa Mapinduzi Tukufu kweli au Mauaji Katili?
Nani aliyekuwa katika njia sahihi? Nyerere kumsaidia mpindua Serikali halali au Mwingereza aliyetaka kuirejesha madarakani Serikali iliyopinduliwa?