Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna mahali nchi ilipita kwenye bonde la uvuli wa mauti. Matajiri wakaambiwa wataishi kama mashetani, masikini wakaambiwa watalimia meno.
Nchi ikakosa furaha, kiwango cha huzuni kikawa kikubwa na kutamalaki hadi nchi jirani.
Unyama na ukatili tu, uliwaendea hadi vifaranga na ng'ombe.
Ni kweli kazi ya ujenzi tuliiona, ila ukiukwaji wa mikataba unatugharimu hadi leo. Mali za taifa zinakamatwa kufidia maamuzi mabaya yaliyofanywa na mtu mmoja.
Wafanyakazi hawakuwahi kupandishiwa mishahara. Kilio hakikuwa kwao peke yao. Kilio kiliwafikia wakulima wa mbaazi, ufuta, choroko, dengu, kunde na korosho.
Giza likizidi ujue mapambazuko yamekaribia. Tanganyika ilipata uhuru wake 09 Dec 1961. Tanzania 🇹🇿 tukajitwalia uhuru wetu tarehe 17th March 2021