Tanganyika ilipata uhuru wake 09 Dec 1961. Tanzania 🇹🇿 tukajitwalia uhuru wetu tarehe 17th March 2021

Kuna mahali nchi ilipita kwenye bonde la uvuli wa mauti. Matajiri wakaambiwa wataishi kama mashetani, masikini wakaambiwa watalimia meno.

Nchi ikakosa furaha, kiwango cha huzuni kikawa kikubwa na kutamalaki hadi nchi jirani.

Unyama na ukatili tu, uliwaendea hadi vifaranga na ng'ombe.

Ni kweli kazi ya ujenzi tuliiona, ila ukiukwaji wa mikataba unatugharimu hadi leo. Mali za taifa zinakamatwa kufidia maamuzi mabaya yaliyofanywa na mtu mmoja.

Wafanyakazi hawakuwahi kupandishiwa mishahara. Kilio hakikuwa kwao peke yao. Kilio kiliwafikia wakulima wa mbaazi, ufuta, choroko, dengu, kunde na korosho.

Giza likizidi ujue mapambazuko yamekaribia. Tanganyika ilipata uhuru wake 09 Dec 1961. Tanzania 🇹🇿 tukajitwalia uhuru wetu tarehe 17th March 2021
Upupu mtupu phew. Maaavi harufu mbaya hii
 
Siyo kweli.

Tanzania bado haijawa huru.

Chama kinachowezesha kuwepo kwa viongozi wa aina hiyo, au kinyume cha hao lakini bado hawaleti tija katika maisha ya wananchi, huo ndio ukoloni wenyewe.

Kama mkoloni alivyofurumshwa tarehe 9, 1961; huyu mkoloni CCM naye anatakiwa kuondolewa ndipo nchi hii ipate pumzi na kuwa huru kamili.
 
Kuna mahali nchi ilipita kwenye bonde la uvuli wa mauti. Matajiri wakaambiwa wataishi kama mashetani, masikini wakaambiwa watalimia meno.

Nchi ikakosa furaha, kiwango cha huzuni kikawa kikubwa na kutamalaki hadi nchi jirani.

Unyama na ukatili tu, uliwaendea hadi vifaranga na ng'ombe.

Ni kweli kazi ya ujenzi tuliiona, ila ukiukwaji wa mikataba unatugharimu hadi leo. Mali za taifa zinakamatwa kufidia maamuzi mabaya yaliyofanywa na mtu mmoja.

Wafanyakazi hawakuwahi kupandishiwa mishahara. Kilio hakikuwa kwao peke yao. Kilio kiliwafikia wakulima wa mbaazi, ufuta, choroko, dengu, kunde na korosho.

Giza likizidi ujue mapambazuko yamekaribia. Tanganyika ilipata uhuru wake 09 Dec 1961. Tanzania [emoji1241] tukajitwalia uhuru wetu tarehe 17th March 2021
Corona ilitufaa sana
 
Back
Top Bottom