Tanganyika ilipata uhuru wake 09 Dec 1961. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tukajitwalia uhuru wetu tarehe 17th March 2021

Kwani yale majambazi ya mali za watu waliokuwa nae wamekufa??!!Bado kabisa Uhuru wa haki za watu hapo Tanzania tusijidanganye kwamba kuondoka yeye kila kitu kitakuwa sawa.
Watu wamepumua jana kwenye mkutano wa Chadema Maaskari waliulinda msafara wa Mbowe na mji ulikuwa umetulia shwari zile ngojera za mwendazake kuwa mikutano ya siasa inahamasisha fujo ziliwaibisha wafuasi wake.
 
Umeandika hapo ili upate likes nyingi na comments ila ukae ukijua tu kuwa ulichokifanya ni upumbavu wa kiwango cha juu.
Hao wanasema tu, ila mioyoni mwao wanaugua kwa uchungu walionao kutokana na hali ta sasa. Labda kama ni uhuru wa mafisadi na mashoga...ila kama ni uhuru wa wananchi, wengi wanalia.

Leo hii mchele zaidi ya tsh elfu 3 kwa kg1, wakati kabla ya hiyo tarehe aliyotaja, kipindi kama hiki mchele ulikuwa tsh elf 1. Wanasingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk.
 
Aiseeh mjerumani alikuwa katirii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu wamepumua jana kwenye mkutano wa Chadema Maaskari waliulinda msafara wa Mbowe na mji ulikuwa umetulia shwari zile ngojera za mwendazake kuwa mikutano ya siasa inahamasisha fujo ziliwaibisha wafuasi wake.
Nchi haindelei kwa mikutano ya siasa tunazungumzia uhuru wa kumiliki mali na kuwekeza Tanzania.Chadema haiwezi kusaidia nchi kama hawaelewi maana ya uchumi huru na kutambua haki zake na kukaribusha wawekezaji
 
CHADEMA ilishawahi tawala Tanzania??Tuongelee vitu ambvyo vipo na si mawazo fikirishi au nadharia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ