Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

Kama mtu mmoja aliweza kufanya hayo yote uliyoyaandika hapa, na baada hata ya wewe mwenye utambuzi na kujielewa kutokea na kuendelea kuwa na mambo hayo hayo aliyoyaasisi huyo mtu, tena akiwa alishaondoka siku nyingi, bado mambo yake na matendo yake yanakuzungusha akili wewe, hapa watu wamwone nani mwenye akili timamu, wewe chizi, au huyo aliyeweza kushikilia akili za watu?

Wewe umefanya nini kubadili mwelekeo huo hadi sasa?
 
Hao hao wawili watatu wangekuwa wanalaumu Marehemu huku wakiendelea kucheza bao unadhani wangefanikiwa ?
Hao na utajiri wao ni asilimia ngapi kwenye GDP ya nchi!?.. unaelewa walau kanuni ndogo tu za uchumi!?
 
Mi najua Malaysia tu ndo mfano wenu, Malaysia haikupigana senseless war
Kwa Data ambazo zipo
Mwaka 1985 Tanzania ilikuwa namba 62 Kwa GDP duniani
Mwaka 1995 Tanzania ilikuwa namba 103 Kwa GDP duniani
Mwaka 2005 Tanzania ilikuwa namba 91 Kwa GDP duniani
Mwaka 2015 Tanzania ilikuwa 86
Mwaka 2020 Tanzania ilikuwa namba 74

"List of countries by past and projected GDP (PPP) - Wikipedia" List of countries by past and projected GDP (PPP) - Wikipedia
 
Mwinyi Kwa miaka 10 kapiga 41 nyuma Mkapa Kwa miaka 10 kapiga 12 mbele Kikwete Kwa miaka 10 kapiga 5 mbele na Magufuli Kwa miaka 5 kapiga 12 mbele
 
Kama Nyerere alikosea wewe unashindwa nini kurekebisha makosa yake?

Wewe ndie mjinga zaidi ya Nyerere, kwasababu tatizo unaliona, lakini umeamua kuliacha hivyo hivyo huku ukibaki kumlaumu Nyerere.
Kurekebisha makosa ya nyerere ni mpaka utoe damu

Na bado watz hatujapitia magumu yakutufanya tuwe tayar kufa
 
Wewe ndio wale mnaamini Kama ulizaliwa familia maskini basi na wewe utaishia kuwa maskini

Nyerere aliondoka madarakani miaka karibu 40 iliyopita. Waliofata Kama walishindwa kuweka misingi mipya mizuri basi sio kosa la nyerere

Kila siku tunawasifu Singapore na china kwa mapinduzi waliofanya, wangekua na akili za kulaumu waliopita basi nao wangeendelea kuwa maskini

Waziri anaiba pesa Leo hii, alafu hafanywi kitu tunaishia kusema kosa ni la nyerere
 
Taifa gani Africa Sio la kifala angalau ukitoa Yale ya kiarabu
Africa ya weusi yote inafanana
 
Kama huwezi unasubiria Nyerere afufuke?
Wewe kama unaweza anza leo kukosoa viongozi hadharani ukiwa mwenyewe?

Tatizo sio kwamba siwezi kurekebisha, tatizo ni uoga wa watanzania kuku unga mkono wakati unapombana na kundi kubwa la wanasiasa wanyonyaji.
 
Huyu jama kapokelewa na waislamu wa pwani wakamuamini wakamsaidia kwa harakati zote alivyo pata uraisi akaanza kubaguwa waislamu kisiasa na kielimu, kafiri ni kafiri ata umsaidie je atakuja kukupenda
Huo ni upuzi na usengenyaji wa jinsi ke wewe sio lijari na BADALA YA WATOTO WAKO UWAPELEKE TUTISION UNAWAPELEKA MADRASA WAKIJIFUNZE...... ELIMIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…