The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji.
Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka anuani za makazi Tanganyika imepewa sh. 1billion kila mkoa na Zanzibar sh. 500,000,000 (nusu bil.) Kila mkoa. Nikajiuliza hivi tunatumia formula gani katika kugawana fedha kati ya Tanganyika na Zanzibar?
Anaefahamu naomba anijuze tafadhali.
Kaka pascal mbona za Tra wamepewa 21%?The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.
Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.
Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
Kaka Kuna tofauti kubwa kati ya ilivyo na inavyotakiwa kuwa.Kaka pascal mbona za Tra wamepewa 21%?
Kwanini watu wanaongelea kugawana? Vipi kuchangia?The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.
Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
Sawa mkuu wa elimu hii. Kwani huku Tanzania Bara fedha zinagawanywaje kwenye mikoa, Wilaya, tarafa, kata na vijiji?The formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.
Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
Wakumbushe pia Tanganyika na Zanzibar zinaongozwa na Zanzibar kwa awamu hii kwa hiyo hakuna hesabu itakayokosewa kama maslahi ni ya Zenji.Kaka Kuna tofauti kubwa kati ya ilivyo na inavyotakiwa kuwa.
There's no first and hard rules, Zanzibar ni wenzetu, tunaweza kugawana hadi 50/50 na hakuna ubaya wowote, Ila uwiano wa kuwianika kati ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ni asilimia 4.5% kwa 95.5%.Kaka pascal mbona za Tra wamepewa 21%?
Kwani unasikia kero za muungano tena!Wakumbushe pia Tanganyika na Zanzibar zinaongozwa na Zanzibar kwa awamu hii kwa hiyo hakuna hesabu itakayokosewa kama maslahi ni ya Zenji.
Unajua kwamba waTanganyika ni wajinga mno.Tupo kwenye ndoa ambayo haina mlingano. Unampa tu lakini yeye hakupi.Kwanini watu wanaongelea kugawana? Vipi kuchangia ?
Hizo pesa za anuani za makazi zinatoka account gani ? Inachangiwa na nani?
Kuna upotofu, hela za Tanganyika zinagawiwa Zanzibar hakuna suala la kugawana
Kama tunagawana tuonyeshwe mchango wa Zanzibar! Mbona kugawana tuuu hakuna kuchangia?
Kikokotoo ulichosema kwanini kinatumika kugawana na si kuchangia muungano?
Hakuna kitu kinaitwa 'kugawana'', kinachofanyika ni kuwagawia Zanzibar pesa za Watanganyika
Kwanini tunagawana hatuzunguziii kuchangia?There's no first and hard rules, Zanzibar ni wenzetu, tunaweza kugawana hadi 50/50 na hakuna ubaya wowote, Ila uwiano wa kuwianika kati ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.
P
At the moment they are 2M against 59. It is impossible to go 50/50 with them. Tuwe kama ujerumani. Huwezi kujua huyu ni Wa west au east. Why?There's no first and hard rules, Zanzibar ni wenzetu, tunaweza kugawana hadi 50/50 na hakuna ubaya wowote, Ila uwiano wa kuwianika kati ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.
P
kwa hayo mahesabu zanzibar inapata asilimia 9 mara mbili ya inachostahili hapo hatujui yenyewe inachangia kiasi ganiThe formula ya kikokotoo cha mgao wa fedha kwa Tanzania Bara na Zanzibar, ni kutumia formula ya eneo, ambayo eneo la Zanzibar ni 4.5% ya eneo la Tanzania Bara.
Kila Mkoa ukipata wa Bara ukipata TZS 1.B jumla ni 26.B na Zanzibar 2.5B. Kufuatia Zanzibar kuwa na the minority status, it's usually gets a little bit more, hata kwenye ajira, kwenye mabalozi, kwenye Mawaziri, kwenye mikopo, kwenye scholarship na kwenye kila kitu.
P
Kugawana lazima kuwepo, Mtu ikiipatia msaada Tanzania lazima huo msaada tuugawane kati ya pande zetu mbili za muungano.Kwanini watu wanaongelea kugawana? Vipi kuchangia ?
Hizo pesa za anuani za makazi zinatoka account gani ? Inachangiwa na nani?
Kuna upotofu, hela za Tanganyika zinagawiwa Zanzibar hakuna suala la kugawana
Kama tunagawana tuonyeshwe mchango wa Zanzibar! Mbona kugawana tuuu hakuna kuchangia?
Kikokotoo ulichosema kwanini kinatumika kugawana na si kuchangia muungano?
Hakuna kitu kinaitwa 'kugawana'', kinachofanyika ni kuwagawia Zanzibar pesa za Watanganyika
Articles za union, ziliweka Tume ya pamoja ya fedha. Zanzibar na Tanzania Bara, zilitakiwa kuchangia gharama za uendeshaji wa serikali ya muungano.Kwanini tunagawana hatuzunguziii kuchangia?
Tunagawana mali za nani?
Wazanzibar walielemika miaka mingi sana kabla ya Tanganyika, wote walikuwa wanajuwa kusoma na kuandika tangu wakati wa mkoloni, walikuwa na maji, schools, television siku nyingi sana nyuma kabla ya Tanganyika.Unajua kwamba waTanganyika ni wajinga mno.Tupo kwenye ndoa ambayo haina mlingano. Unampa tu lakini yeye hakupi.
1.Wana haki ya kugombea nafasi ya kugombea nafasi yeyote ilimradi aungwe mkono. Nenda Zanzibar uone kama utachaguliwa hata ujumbe Wa nyumba kumi.
2. Wanaajiriwa popote Tanzania. Ukienda kwao ajira SMZ ni kwa ajili yao tu.
3.Wanaruhusiwa kununua ardhi huku ila kule kwao ardhi ni yao tu
4.Wanagawiwa wasichochangia.
4.Wanaweza kutoa raisi Wa Watanganyika ila sisi hatuwezi. Ninaupenda muungano ila wore tupoteze sio upande mmoja tu ndo upoteze. Tanganyika hatuna identity lakini wao wanayo. Hii ni hatari kwaistawi wa taifa. Miaka mia moja ijayo wajukuu wetu watatulaumu sana. Kwa mini tuungane nusu?