antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hapana..Kama Zanzibar ni wenzetu, kwahiyo Mtanganyika akitaka kununua ardhi Zanzibar ili aishi huko atauziwa?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sheria 'yao' hairuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana..Kama Zanzibar ni wenzetu, kwahiyo Mtanganyika akitaka kununua ardhi Zanzibar ili aishi huko atauziwa?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
na kweli maana kuna baadhi eneo ni dogo na idadi pia sio kubwa kama hapoUnapotoa 1 bil kwa mkoa wa shinyanga uweke anwani za makazi na 0.5 bil kwa mkoa wa mjini magharibi sijui imezingatiwa nini, idadi ya mitaa, idadi ya wilaya au umbali kati ya wilaya na wilaya na mtaa na mtaa au imeamuliwa tu kutoka kichwani?
Kwa mujibu wa Sensa ya 2012, population ya Zanzibar yote ilikuwa watu 1,503,569 wakati population ya wilaya moja tu ya Kinondoni ilikuwa watu 1,775,049..duh hivi hawaangalii hata idadi ya watu? zote zinapewa flat rate? Maana kuna tofauti ya mkoa na Mkoa, mikoa mengine jiografia yake na idadi ya watu sio rafiki sana, na kuna mikoa baadhi ambayo idadi yake sio kubwa sana na eneo lake sio kubwa.
Sijajua hii ipoje lakini natumai kuna namna ambavyo imetumika ili kufidia
kwa hela hizo mitaa ya zanzibar inapaswa iwekewe vibao vya copper visivyopata kutu, maana 0.5b ni hela nyingi sana kwa mkoa mmoja wa ZNZ ukilinganisha na 1b kwa mkoa wa Singida na wilaya zake zote. Kwanza huko Singida karibu robo ya hela yote itatumika katika usafiri (mafuta gari, magari, malazi, chakula na posho) wa kutoka Mkoani kwenda wilaya zote, wilaya hadi wilaya, wilaya kwenda tarafa zote, tarafa zote kwenda kata zote na kata kwenda vijiji vyote kwa viongozi wakuu wa zoezi wakifanya supervion, monitoring and evaluationKwa mujibu wa Sensa ya 2012, population ya Zanzibar yote ilikuwa watu 1,503,569 wakati population ya wilaya moja tu ya Kinondoni ilikuwa watu 1,775,049..
Kama mgawanyo wa fedha ungefanywa kwa HAKi, wilaya moja tu ya Kinondoni ingepewa fedha nyingi kuliko Zanzibar yote!
Hapana! Tume zote zilizowahi kuundwa huko nyuma tulipata taarifa zake baada ya kaziHakuna usiri wowote isipokuwa ni utaratibu wa kawaida wa Tume zote, hufanya kazi zake in strictly confidential halafu jambo likiisha kamilika ndipo ripoti hutolewa.
Hapana! Taasisi hazikuundwa kutoa ajira a upendeleo kwa Wazanzibar.Sii kweli, Taasisi za muungano ni zile Taasisi za mambo ya muungano ambapo ni Taasisi moja hiyo hiyo iko Bara na Visiwani, mfano BOT, tena muundo wa Taasisi hizi ulipaswa kuwa wa kimuungano, mfano top akitoka upande mmoja, deputy atoke upande wa pili kama ilivyo kwa Rais na VP.
Taasisi na Wizara hazipo kwa ajili ya ajira za Wazanzibar, zipo kuchangiwa.Taasisi za muungano zenye muundo huu ni BOT tuu na Wizara za muungano, Waziri akitoka upande mmoja, naibu Waziri anatoka upandewa pili, This should have been done to Police kuwe na deputy IGP, CDF kuwa na deputy CDF, and do the same kwa Taasisi zote za muungano likiwemo shirika la Posta, TCRA, TCAA, Sumatra etc, tena tumewadhulumu sana Zanzibar kwa miaka yote tangu tumeungana,
Yes kwasababu hizi;Taasisi zote za muungano zinaongozwa na watu kutoka bara pekee as if Zanzibar hakuna watu wenye uwezo huo. this is not fair. . Sasa ni wakati wa kuwa na gavana wa BOT kutoka Zanzibar, CDF kutoka Zanzibar, IGP kutoka Zanzibar
Zanzibar walitaka waruhusiwe kukopa, wakapewa ruhusu hiyo.Mgao wa 4.5% sio mgao wa GDP ya Tanzania, bali ni mgao wa fedha za mikopo na misaada kutoka nje.
Na kwenye mikopo, Zanzibar ina haki ya kukopa kwa udhamini wa JMT, lakini sio kweli kuwa wanalipa mkopo huo ni machogo, Zanzibar ikikopa, JMT inawadhamini tuu kwasababu Zanzibar sio nchi, haiwezi kukopa mikopo ya kimataifa, Tanzania ndio nchi, hivyo Zanzibar ina haki ya kukopa ila ni kwa kudhaminiwa na JMT lakini kwenye kulipa huo mkopo, Zanzibar wanalipa wenyewe, ila endapo Zanzibar akishindwa kulipa, ndipo mdhanini anaingilia kati na kumlipia, Zanzibar haijawahi kushindwa kulipa mikopo yake
Hili la mgao wa 4.5% niliisha lifafanua sio 4.5% ya kodi za Watanzania au pato la taifa, mgao wa 4.5% ni pato la mikopo na misaada ya kimataifa ya kimaendeleo.
Gharama za kuendesha ni za Tanganyika. Hakuna formula ya kuchangia ila ipo ya kugawana mapato na rasilimali za Tanganyika.Wizara zote za muungano, mfano Mambo ya Ndani, Nje, Ulinzi, etc, zote ndani yake kuna mambo ya muungano,at the same time ndizo be Wizara za Bara. hakuna dermacation za kibajeti kuwa ndani ya wizara ya MFA, Jeshi au Polisi , this sum is gharama za muungano na this sum sio za muungano.
Nchi moja kwa umoja, si nchi moja kugawana tu kuchangia hapana!Mkiungana wawili nyie mnakuwa wamoja, Tanzania ni nchi moja.
P
Hakuna kitu kinaitwa kuchangia! Zbar hawana mchango wowote ule katika muunganoKwani mapato ya zinzibar na tanzania bara yanawekwa kwenye kapu moja?
Akitoka hangaya anakuja MWINYI. Hadi mmyooke safari hii.Zanzibar ndani ya kipindi hiki cha Hangaya wasipopiga hatua basi wasahau.
Hakuna muungano kuna uvamizi. Kwa nini Wazanzibari wachangie uvamizi? Majeshi ya uvamizi yanamwaga damu za Wazanzibari tangu 1964. Wala hakuna Mzanzibari atakaye changia lolote kwenye huo uvamizi kwa hiyari. Kama mnaona uvamizi mlioufanya unawagharimu sana, ondokeni ili Zanzibar ipate full sovereignity. Zanzibar huru itapata maendeleo haraka sana maana nyie machogo na mawazo yenu ya chuki ni kama nanga inayotukwamisha kimaendeleo.Hakuna kitu kinaitwa kuchangia! Zbar hawana mchango wowote ule katika muungano
Tume ya fedha ya pamoja ina lengo moja, kugawana kinachopatikana Bara!
Wao walishaondoa mafuta na gesi waliposikia eti yapo. Tume ya fedha ya pamoja inajadili namna ya kugawana pato la gesi ya Mtwara, Tanzanite, Dhahabu etc.
Wbar hawawezi kukaa mahali panapowajibika au kuchangia, huo si utamaduni wao.
Hakuna shida.Akitoka hangaya anakuja MWINYI. Hadi mmyooke safari hii.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Muungano wa nchi moja hauwezekani kuna wanaodhani ''Uzanzibar'' ni kitu cha maana kuliko Usukuma au Ungoni japo ndani ya Uzanzibar upo UzanzibaraKwani kuna ugumu gani wa kuwa na muungano kama wa USA? Yaani hizi nchi mbili ( Tanganyika + Zanzibar) zinavunjwa na kutengeneza nchi moja, rais mmoja tu?
au
Tuwe na muungano wa serikali tatu kama tunaona muungano ni muhimu sana! Yaani tuwe na Serikali ya Tanganyika, Zanzibar na Serikali ya Shirikilisho la Tanzania.
Watu wengine watasema oooh! ni gharama kuendesha muungano. Sasa ya nini kuung'ang'ania kitu cha gharama halafu hakina faida sawa?!
Denmark mwaka juzi kama sikosei alikuwa analalamika anatumia gharama kubwa kuiendesha Greenland (Kisiwa chenye mamlaka ya ndani), mpaka Trump akawaambia Denmark waiuzie USA hicho kisiwa.
Sasa huu muungano naamini ikipigwa kura ya maoni Tanganyika na Zanzibar, wananchi watakaoutaka muungano labda wanasiasa wa CCM upande wa Zanzibar hasa Unguja. Sijui wanaogopa tukivunja muungano, wale waarabu wa Oman watarudi tena Zanzibar?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kiukweli Tanganyika inahitajika kuonekana!Mkuu Pascal Mayalla
Kwa muda mrefu wale wa siku nyingi kama akina JokaKuu wamejadili sana kuhusu G55 na kwanini ilikuwepo. Katika mabandiko kadhaa yaliyopita tumeeleza kuwa G55 chanzo chake ni Rais AH Mwinyi. Kwamba Mwinyi aliingiza Uzanzibar ndani ya Muungano kiasi kwamba Watanganyika wakakereka . Wengi hawakuamini maneno hayo hasa vijana ambao hawakuwepo
Mungu jaali, jana Mzee Jenerali Ulimwengu aliyekuwa katibu kaeleza kila kitu kama tulivyosema.
Jenerali anasema kilichowasukuma wao ni kuona Uzanzibar ndani ya serikali ya muungano na Tanganyika haikuwa na Msemaji. Jenerali akasema yeye , Marhmu Njelu Kasaka na Patrick Quoro wakapeana majukumu na wenzao 55. Hoja yao ni kutaka kuiona Tanganyika
Jenerali anasema G55 ilikuwa kama ''opposition' na kazi zake zilikuwa kuisimamia serikali
Jenerali ameeleza mengi akisema kwasasa kuna mwamko wa kuitambua Tanganyika
Historia ina tabia moja hujirudia na hilo ndilo linalotokea.
G55 ilikuwa na nguvu sana na aliyezuia Tanganyika alikuwa Mwalimu
Kama Watawala watadhani kinachoendelea ni mzaha, ipo siku Wananchi wataidai Tanganyika yao kwa nguvu sana kiasi cha kutokuwa na muda wa kujadiliana.
Mfano, wizara ya ulinzi ni wizara ya muungano, je, fedha za ununuzi wa silaha za kuilinda JMT zinalipwaje kati ya pande hizi mbili.Hapana! Tume zote zilizowahi kuundwa huko nyuma tulipata taarifa zake baada ya kazi
VP kaagizwa ashughulikie kero za muungano! Kero 11 za miaka nenda rudi zimemalizwa kwa miezi michache kana kwamba Marais waliotangulia hawakujua wafanye nini.
Kimya cha Wazanzibar kinatisha, kwamba majadiliano ni kati ya '' Zanzibar na Zanzibar'', Mtanganyika na masilahi yake aliwakishwa na nani?
VP na PM ni wateliwa na wanawajibika kwa Rais wa JMT , siyo viongozi wa Tanganyika!
Hapana! Taasisi hazikuundwa kutoa ajira a upendeleo kwa Wazanzibar.
Taasisi zimeundwa kusimamia shughuli za nchi.
BoT kwa mujibu wa Marhum Gov. Ndulu Zanzibar haichangi chochote kwa miaka zaidi ya 40.
BoT si shamba la ajira ni chombo na kinahudumiwa na kodi za Watanganyika, kwa Zanzibar kuwemo ni fadhila tu! Wanakuwepo kwa lipi! Hawajui mishahara na gharama za BoT
Taasisi na Wizara hazipo kwa ajili ya ajira za Wazanzibar, zipo kuchangiwa.
SMZ wakipewa wizara ya Ulinzi au mambo ya ndani hawawezi kuendesha hata kwa wiki 3.
Kwanini unadhani wanapaswa kupata ajira tu lakini hawawajibiki!
Zanzibar wana21% ya ajira za muungano, kiwango hicho ni kikubwa kuliko ajira za SMZ.
Tanganyika inawapaajira, inalipa mishhahara, marupu rupu na pensheni kwa kodi zake
Zbar hawachangii na hawajui gharama, wanajua kugawana tu! Ni wazuri wa kugawana, hawajui wanagawana kutoka chanzo gani! chanzo wamewaachia Watanganyika, zigo lao!
Wanapewa special ajira 21% watu takribani 400, 000 wengi wapo bara wakitumia rasilimali za Tanganyika halafu wanalipwa mishahara kwa kupewa fursa ya 21%.
Kwanini hakuna ajira % kwa mkoa wa Mwanza unaochangia Trillion 10 za pato la Taifa.
Kwanini hakuna % ya mkoa wa Dar es Salaam, Mbeya, Arusha, Simiyu au Manyara!
Yes kwasababu hizi;
Taasisi za muungano ni za bara, Zbar wanazao.
TAKUKURU inawahusu nini Zbar wakati wana yao?
Bandari inawahusu nini Zbar wakati wana yao?
Orodha inaendelea
Pili, anayechaguwa wimbo kwa mpiga zumari ni yule anayemlipa.
Tanganyika wanagharamia taasisi zao, uwepo wa Wazanzibar ni fadhila tu
Zanzibar walitaka waruhusiwe kukopa, wakapewa ruhusu hiyo.
Leo wanakopa halafu mzigo wa deni wanamtupia Mtanganyika.
Katika mwaka mmoja uliopita wamekopa karibia Trilioni moja zikipitia bara.
Bajeti yao ni kiasi hicho hicho! wanalipaje? Mbona hatujasikia formula ya kurudisha mikopo
Zbar hawakuweza kulipa deni la Tanesco tu bilioni 60, leo wanaweza kulipa bilioni 500 au 600 za mikopo! Deni la Tanesco kalibeba mwananchi wa Manzese ! mbeba Lumbesa analipia gharama za umeme Zanzibar . Muuza ndizi barabarani akirudi analipia deni la Wazanzibar
ZECO walikusanya pesa ''wakagawana'' halafu SMZ ikagoma kulipa, Tanganyika ikawatwisha Raia wake mzigo. Leo unasema 'wadhamiwe'' hiyo ni lugha tu ya kusema '' zigo la Tanganyika''
Gharama za kuendesha ni za Tanganyika. Hakuna formula ya kuchangia ila ipo ya kugawana mapato na rasilimali za Tanganyika.
Hapa si kosa la Wazanzibar , ni ''machogo' wasiohoji mzigo mkubwa wanaoubeba.
Tatizo lipo pale mjengoni Dodoma na Lumumba, kwa bahati nzuri mzigo hauchagui bega ! huko Simiyu na kwingine wanakotoka '' Wa mjengoni'' wanachangia pato la Taifa lakini hawana asilimia za mikopo, ajira kama Zbar.
Zigo la muungano linabebwa na kila mtu wakiwemo wa Mjengoni na Lumumba!
Nchi moja kwa umoja, si nchi moja kugawana tu kuchangia hapana!
Ni aibu , Zbar wanachokiona katika muungano ni kugawana tu! hawajui kuwajibika
Siku machogo watakapochoka na dalili za kuchoka zinaonekana , muungano utafikia tamati kama taa inayozimwa.
Jeshi ni taasisi kubwa sana ikiwa na watumishi, zana n.k. Bajeti yake ni kubwaMfano, wizara ya ulinzi ni wizara ya muungano, je, fedha za ununuzi wa silaha za kuilinda JMT zinalipwaje kati ya pande hizi mbili.
Siyo Marais wastaafu tu hata Wafanyakazi wa kawaida wa muungano na ajira za Tanganyika (21%) wanalipwa na Tanganyika. Wanposataafu malipo ya kustaafu na pensheni zao ni gharama za kodi za Watanganyika. Zanzibar haina mchango kwa mujibu wa Gavana Ndulu RIP.Je, Marais wastaafu wa JMT wanalipwaje na pande hizi mbili?, nk., nk, nk. Lazima tunayo kazi ndefu ya kufanya
Ilipoanzishwa BOT - Pesa za Zanzibar zilizokuweko East Africa Community zilichukuliwa zikaanzishiwa hio BOT na Mpaka leo Zanzibar haipati mgawo wowote kutoka BOT- Nafikiri tungelianzia hapo na Tukaweka wazi kati ya Zanzibar na Tanganyika share zilikuwaje?Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji.
Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka anuani za makazi Tanganyika imepewa sh. 1billion kila mkoa na Zanzibar sh. 500,000,000 (nusu bil.) Kila mkoa.
Nikajiuliza hivi tunatumia formula gani katika kugawana fedha kati ya Tanganyika na Zanzibar?
Anaefahamu naomba anijuze tafadhali.
Kwaiyo ,ni silias kabisa kwamba gharama za muungano hazijulikanai? naona ni kama kama vile bara ndio wanaona muungano ni bora kwao ndio maana kuna vtu ata vikiwaumiza wanapuuzia au labda wanaona si jambo kubwa kwa maono yaoArticles za union, ziliweka Tume ya pamoja ya fedha. Zanzibar na Tanzania Bara, zilitakiwa kuchangia gharama za uendeshaji wa serikali ya muungano.
Ili Zanzibar ichangie gharama za uendeshaji wa muungano, ni kwanza gharama hizo ziainishwe. Ili gharama za uendeshaji wa muungano ziainishwe, lazima tuwe na serikali 3. SMZ Zanzibar wajibebe, STB, Tanzania Bara wajibebe, na serikali ya JMT, hii ndio ichangiwe na SMZ na STB.
Kwa sasa ndani ya serikali ya JMT, there is no demarcation ya gharama za uendeshaji wa muungano kwa sababu serikali hiyo hiyo ya JMT ndio serikali ya muungano kwa wizara za muungano, at the same time ndio serikali ya Tanganyika kwa shughuli ambazo sio za muungano.
Zanzibar ina haki na uhalali wa kugomea kuchangia gharama zisizojulikana, as a result, ni Tanzania Bara pekee ndio inagharimikia gharama za uendeshaji wa muungano.
P