GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Huyo alikuwa gwajiboiMi alichoniacha hoi huyu mtume feki mwamposa anayejiita mfufua watu ni kuhudhuria mazishi ya Yule mbunge wa Kigamboni lakini hakuhangaika kumfufua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alikuwa gwajiboiMi alichoniacha hoi huyu mtume feki mwamposa anayejiita mfufua watu ni kuhudhuria mazishi ya Yule mbunge wa Kigamboni lakini hakuhangaika kumfufua
Inasikitisha leo limekuwa eneo la manabii feki kupigia hela za waumini waoTanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi.
Eneo la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa linatumika kuwapokea na kunenepeshea ng’ombe
Walipoletwa kutoka mikoani kwa treni wakiteremshwa stesheni Pugu, baada ya mwezi wanaswagwa kupelekwa Kawe kuchinjwa na kuchakatwa.
Kutoka Mloganzila kwenda kiwanda wakati wa kuswagwa, waingereza waliita COWS WAY (njia ya ng’ombe). Waswahili wakashindwa na kuita “KAWE”
Tanganyika Packers (TPL) kilikuwa kiwanda kikubwa, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje mpaka kwa malkia wa Uingereza,
Kilikuwa kiwanda tanzu cha shirika la LEMCO (Liebig’s Extract of Meat Corporation) linalofadhiliwa na Uingereza, lilianzia miaka ya 1860 Uruguay.
Liebig ni heshima ya baba wa (Organic Chemistry), Justus von Liebig. Jengo la machinjio la LEMCO lipo kwenye orodha ya Urithi wa Dunia wa UNESCO.
Sehemu kubwa ya nyama kutoka Tanganyika Packers iliuzwa Ulaya hususani katika nchi ya Uingereza. Watanganyika walipata ajira katika kiwanda0.
Kiwanda cha Tanganyika Packers kilijengwa na wakoloni kutoka Uingereza 1945 na kilitoa zaidi ya ajira 2,500 ambapo 1,200 zilikuwa ni ajira za kudumu.
Walifanya kazi kwa shift, walichukuliwa kwa mabasi kazini. 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa.
Kiwanda cha TPL kilizalisha nyama za mabuchani, mafuta ya kutengeneza sabuni, damu ilikaushwa na mifupa ilisagwa na kuwa chakula cha kuku,
Pembe na kwato za ng’ombe zilichemshwa kwenye boiler zikatoa gundi, kiwanda pia kilisindika nyama na maharage kama ox-tail beans, ngozi nk
Katika vita ya Kagera 1978-1979, kiwanda kilitumika kuwalisha wapiganaji vitani. Chakula cha kusindika kilitoka kiwandani kwenda uwanja wa vita.
Mwaka 1975 Serikali ya Mwl, J.K. Nyerere ilitaifisha kiwanda cha Tanganyika Packers na kukifanya kuwa mali halali ya Serikali ya Tanganyika.
Baada ya Serikaki kutaifisha kiwanda, uzalishaji na ubora wa nyama iliyosindikwa ulipungua kwa kiasi kikubwa sana kwa kukosa utaalam na ufundi.
Serikali walinyimwa leseni ya kusafirisha nyama iliyosindikwa. Walinyimwa (phytosanitary certificate) kuthibitisha ubora wa vyakula vya package
Waingereza wakawanyima cheti cha ubora na usafi wa nyama inayozalishwa. Soko la Ulaya ambako ndiyo walikuwa wanunuzi wakubwa likapotea.
Soko la ndani likawa gumu kiwanda kikaanza kusambaza nyama zake kwenye mabucha ya ndani ya Dar es Salaam na baadae kiwanda kikafariki 1993
Taratibu kiwanda cha Tanganyika Packers kikaanza kufariki. Baadaye kilibinafsishwa kwa mbunge wa Kawe, hata hivyo aliishia kuuza mashine na vipuri.
Mbunge wa Jimbo la Kawe wakati huo alitokana na CCM, aliitwa Zainuddin Adamjee. aliposhindwa Kukiendeleza akaamua kung’oa mitambo na vipuri.
Mapaa, madirisha, milango na vifungashio vilipelekwa Mapambano (veterinary) na kupimwa kama vyuma chakavu na mapaa kuuzwa kama used.
Picha chini, zinaonesha ng’ombe wakiwa Tanganyika Packers kabla kiwanda hakijataifishwa.
Leo Tanganyika Packers palipokuwa KIWANDA kilichotoa ajira zaidi 2000, pamefunguliwa KANISA. Watu wanauziwa udongo na mafuta na maji.
Leo Tanganyika Packers watu ndiyo kondoo na wanajipekeka wenyewe machinjioni. Wananyeshwa maji na kulishwa udongo wakielezwa ni UPAKO.
Kanisa hilo la MWAMPOSA (wao wanamuita MTUME) linawaombea maelfu ya vijana waliomaliza vyuo vikuu wakakosa ajira ili wapate ajira kwa maombi.
Maelfu ya vijana wanakesha na kufunga kwake, wananunua mafuta na maji ya UPAKO wapate KAZI. MWAMPOSA anajenga hoteli kubwa MBEYA.
Aliyewaroga watawala wa CCM na watanzania alikufa zamani na dawa ya kuwasaidia aliitupa katikati ya bahari na haiwezi kupatikana leo au kesho. Mazombi.
Cc; MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Viongozi waliomo kwenye mamlaka ni sihemu ya wanaovuna hizo pesa za dhuluma, tukumbuke tukio baya alilosababisha vifo kule Moshi, wakaleta mbwembwe za kukimbizana naye kisha eti wakamkamata, wakamuachia muda mchache baadae kwa amri toka juu!Inasikitisha leo limekuwa eneo la manabii feki kupigia hela za waumini wao
Mwenye makosa hapo siyo Mwamposa, aliyeua kiwanda ni CCM na Nyerere wenu.Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi.
Eneo la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa linatumika kuwapokea na kunenepeshea ng’ombe
Walipoletwa kutoka mikoani kwa treni wakiteremshwa stesheni Pugu, baada ya mwezi wanaswagwa kupelekwa Kawe kuchinjwa na kuchakatwa.
Kutoka Mloganzila kwenda kiwanda wakati wa kuswagwa, waingereza waliita COWS WAY (njia ya ng’ombe). Waswahili wakashindwa na kuita “KAWE”
Tanganyika Packers (TPL) kilikuwa kiwanda kikubwa, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje mpaka kwa malkia wa Uingereza,
Kilikuwa kiwanda tanzu cha shirika la LEMCO (Liebig’s Extract of Meat Corporation) linalofadhiliwa na Uingereza, lilianzia miaka ya 1860 Uruguay.
Liebig ni heshima ya baba wa (Organic Chemistry), Justus von Liebig. Jengo la machinjio la LEMCO lipo kwenye orodha ya Urithi wa Dunia wa UNESCO.
Sehemu kubwa ya nyama kutoka Tanganyika Packers iliuzwa Ulaya hususani katika nchi ya Uingereza. Watanganyika walipata ajira katika kiwanda0.
Kiwanda cha Tanganyika Packers kilijengwa na wakoloni kutoka Uingereza 1945 na kilitoa zaidi ya ajira 2,500 ambapo 1,200 zilikuwa ni ajira za kudumu.
Walifanya kazi kwa shift, walichukuliwa kwa mabasi kazini. 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kuingia serikalini kufuatia sera za ujamaa.
Kiwanda cha TPL kilizalisha nyama za mabuchani, mafuta ya kutengeneza sabuni, damu ilikaushwa na mifupa ilisagwa na kuwa chakula cha kuku,
Pembe na kwato za ng’ombe zilichemshwa kwenye boiler zikatoa gundi, kiwanda pia kilisindika nyama na maharage kama ox-tail beans, ngozi nk
Katika vita ya Kagera 1978-1979, kiwanda kilitumika kuwalisha wapiganaji vitani. Chakula cha kusindika kilitoka kiwandani kwenda uwanja wa vita.
Mwaka 1975 Serikali ya Mwl, J.K. Nyerere ilitaifisha kiwanda cha Tanganyika Packers na kukifanya kuwa mali halali ya Serikali ya Tanganyika.
Baada ya Serikaki kutaifisha kiwanda, uzalishaji na ubora wa nyama iliyosindikwa ulipungua kwa kiasi kikubwa sana kwa kukosa utaalam na ufundi.
Serikali walinyimwa leseni ya kusafirisha nyama iliyosindikwa. Walinyimwa (phytosanitary certificate) kuthibitisha ubora wa vyakula vya package
Waingereza wakawanyima cheti cha ubora na usafi wa nyama inayozalishwa. Soko la Ulaya ambako ndiyo walikuwa wanunuzi wakubwa likapotea.
Soko la ndani likawa gumu kiwanda kikaanza kusambaza nyama zake kwenye mabucha ya ndani ya Dar es Salaam na baadae kiwanda kikafariki 1993
Taratibu kiwanda cha Tanganyika Packers kikaanza kufariki. Baadaye kilibinafsishwa kwa mbunge wa Kawe, hata hivyo aliishia kuuza mashine na vipuri.
Mbunge wa Jimbo la Kawe wakati huo alitokana na CCM, aliitwa Zainuddin Adamjee. aliposhindwa Kukiendeleza akaamua kung’oa mitambo na vipuri.
Mapaa, madirisha, milango na vifungashio vilipelekwa Mapambano (veterinary) na kupimwa kama vyuma chakavu na mapaa kuuzwa kama used.
Picha chini, zinaonesha ng’ombe wakiwa Tanganyika Packers kabla kiwanda hakijataifishwa.
Leo Tanganyika Packers palipokuwa KIWANDA kilichotoa ajira zaidi 2000, pamefunguliwa KANISA. Watu wanauziwa udongo na mafuta na maji.
Leo Tanganyika Packers watu ndiyo kondoo na wanajipekeka wenyewe machinjioni. Wananyeshwa maji na kulishwa udongo wakielezwa ni UPAKO.
Kanisa hilo la MWAMPOSA (wao wanamuita MTUME) linawaombea maelfu ya vijana waliomaliza vyuo vikuu wakakosa ajira ili wapate ajira kwa maombi.
Maelfu ya vijana wanakesha na kufunga kwake, wananunua mafuta na maji ya UPAKO wapate KAZI. MWAMPOSA anajenga hoteli kubwa MBEYA.
Aliyewaroga watawala wa CCM na watanzania alikufa zamani na dawa ya kuwasaidia aliitupa katikati ya bahari na haiwezi kupatikana leo au kesho. Mazombi.
Cc; MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Ukoloni ni mbaya ila kuna wakati ni kama tunawatafuta wakoloni kwa nguvu. Na huyo muuza udongo ana access na vigogo wanamwalika hadi kwenye shughuliz zao rasmi badala ya kuwa gerezani kwa wizi wa kutumia imaniTanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi.

Hayo maelezo hapo juu ya hiki kiwanda kwa kweli yanahuzunisha sana, ngozi nyeusi tuna safari ndefu sana kufika nchi ya ahadi!kweli TRump hakukosea kutuita lile jina.....Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi.

aNa nyuz zake za mbususu na jicho sio hiiKwanini?
Cc BICHWA KOMWE -
🤣🤣🤣aNa nyuz zake za mbususu na jicho sio hii
Yeye ameondoka na kukuacha wewe hai.Iendeleze sasa acha kuandikaandika tu huku huijui kesho yako.tukiwaambiaga nyerere ndo kirusi namba moja kwenye hii nchi mnakomaza fuvu. hii nchi isingetawaliwa na nyerere tungekuwa mbali sana.
Mpaka sasa , Ujamaa umeharibu kabisa akili za Viongozi ,Ujamaa uliharibu nchi sana.
kwan nimesema nitaishi milele, kimsingi nyerere hakutakiwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 5...nchi ilimshinda mapema mno, mwishowe anakuja na ngonjera za kung'atuka baada ya kuipeleka nchi jehanamu.Yeye ameondoka na kukuacha wewe hai.Iendeleze sasa acha kuandikaandika tu huku huijui kesho yako.
Wewe ulikuwa wapi ili uchukue madaraka?kwan nimesema nitaishi milele, kimsingi nyerere hakutakiwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 5...nchi ilimshinda mapema mno, mwishowe anakuja na ngonjera za kung'atuka baada ya kuipeleka nchi jehanamu.
Kwa maelezo hapo kiwanda kilikufa rasmi 1993,mpaka hapo tu bado hakukuwa na akili mpya ya kukiendesha?na wala sio kiwanda pekee kilichotushinda.Ufundi pekee tuliojaliwa ni kuorodhesha visingizio.Mtu muulize tu kwa nini umefeli basi atajaza kaunta book kumi za visingizio.Huo ujamaa au Mwalimu unakuzuia nini leo kufufua like kiwanda cha General tyre kwa mfano?Watu weusi tu macalio sana.Kumbe? ndo maana hapo KAWE mambo yanakwenda king'ombe ng'ombe. Sera za kijamaa, mfumo wa chama kimoja, muungano na Zanzibar, ni miongoni mwa failures kubwa za Mwl. Nyerere.