Tanganyika Packers palipokuwa Kiwanda kilichotoa ajira zaidi 2000, pamefunguliwa Kanisa. Watu wanauziwa udongo, mafuta na maji

Inasikitisha leo limekuwa eneo la manabii feki kupigia hela za waumini wao
 
Inasikitisha leo limekuwa eneo la manabii feki kupigia hela za waumini wao
Viongozi waliomo kwenye mamlaka ni sihemu ya wanaovuna hizo pesa za dhuluma, tukumbuke tukio baya alilosababisha vifo kule Moshi, wakaleta mbwembwe za kukimbizana naye kisha eti wakamkamata, wakamuachia muda mchache baadae kwa amri toka juu!
 
Mwenye makosa hapo siyo Mwamposa, aliyeua kiwanda ni CCM na Nyerere wenu.
Mwamposa kakuta pori kakodi anapatumia mabogus mnamwandama. Kosa lake nini? Serikali haijamuuzia hilo eneo Kama CCM mna akili fufueni kiwanda siyo kumlaumu Mwamposa.
Pili Mwamposa anatafuta eneo anunue aendelee na biashara yake, nà huko mtamfuta? Siyo kazi ya Mwamposa kuwapeni ajira majobless, acheni kutuçhosha sababu ya ujinga na sera mbovu za serikali.
 
Ukoloni ni mbaya ila kuna wakati ni kama tunawatafuta wakoloni kwa nguvu. Na huyo muuza udongo ana access na vigogo wanamwalika hadi kwenye shughuliz zao rasmi badala ya kuwa gerezani kwa wizi wa kutumia imani
 
Hayo maelezo hapo juu ya hiki kiwanda kwa kweli yanahuzunisha sana, ngozi nyeusi tuna safari ndefu sana kufika nchi ya ahadi!kweli TRump hakukosea kutuita lile jina.....
 
Ujamaa uliharibu nchi sana.
Mpaka sasa , Ujamaa umeharibu kabisa akili za Viongozi ,
ndiyo maana unaona wamepoteza muelekeo sera hazitekelezeki.

Sera yao mpya sasa ni kuteka na kuua wakosoaji wakifikiri hiyo sera itawakomboa kumbe inazidi kuwachimbia kaburi.

Mchawi wa nchi hii ni CCM .
 
Yeye ameondoka na kukuacha wewe hai.Iendeleze sasa acha kuandikaandika tu huku huijui kesho yako.
kwan nimesema nitaishi milele, kimsingi nyerere hakutakiwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 5...nchi ilimshinda mapema mno, mwishowe anakuja na ngonjera za kung'atuka baada ya kuipeleka nchi jehanamu.
 
kwan nimesema nitaishi milele, kimsingi nyerere hakutakiwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 5...nchi ilimshinda mapema mno, mwishowe anakuja na ngonjera za kung'atuka baada ya kuipeleka nchi jehanamu.
Wewe ulikuwa wapi ili uchukue madaraka?
 
Kumbe? ndo maana hapo KAWE mambo yanakwenda king'ombe ng'ombe. Sera za kijamaa, mfumo wa chama kimoja, muungano na Zanzibar, ni miongoni mwa failures kubwa za Mwl. Nyerere.
Kwa maelezo hapo kiwanda kilikufa rasmi 1993,mpaka hapo tu bado hakukuwa na akili mpya ya kukiendesha?na wala sio kiwanda pekee kilichotushinda.Ufundi pekee tuliojaliwa ni kuorodhesha visingizio.Mtu muulize tu kwa nini umefeli basi atajaza kaunta book kumi za visingizio.Huo ujamaa au Mwalimu unakuzuia nini leo kufufua like kiwanda cha General tyre kwa mfano?Watu weusi tu macalio sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…