Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nchi zote za Afrika, Nyerere ndiye alikuwa mtawala? Nenda hapo Congo tu ambako Mobutu ndiye alikuwa rais kipenzi cha mataifa ya Magharibi usiposema bora hata Nyerere. Ila una hoja, tatizo ni watawala ila umefanya kosa kusema ni Nyerere na kuacha marais wa kiafrika wengine. Tena Nyerere alikuwa nafuu angalau alituachia madini na kutuunganisha.tukiwaambiaga nyerere ndo kirusi namba moja kwenye hii nchi mnakomaza fuvu. hii nchi isingetawaliwa na nyerere tungekuwa mbali sana.
natamani ningekuwepoWewe ulikuwa wapi ili uchukue madaraka?
Watu weusi macalio wa ukoo wenu na wale walioamini serikali dhaifu za kifisadi zinaweza kuendesha miradi kibiashara.Kwa maelezo hapo kiwanda kilikufa rasmi 1993,mpaka hapo tu bado hakukuwa na akili mpya ya kukiendesha?na wala sio kiwanda pekee kilichotushinda.Ufundi pekee tuliojaliwa ni kuorodhesha visingizio.Mtu muulize tu kwa nini umefeli basi atajaza kaunta book kumi za visingizio.Huo ujamaa au Mwalimu unakuzuia nini leo kufufua like kiwanda cha General tyre kwa mfano?Watu weusi tu macalio sana.
tanganyika packers ipo tz haipo drc, alituunganisha kwan tulikuwa tumetengana?Nchi zote za Afrika, Nyerere ndiye alikuwa mtawala? Nenda hapo Congo tu ambako Mobutu ndiye alikuwa rais kipenzi cha mataifa ya Magharibi usiposema bora hata Nyerere. Ila una hoja, tatizo ni watawala ila umefanya kosa kusema ni Nyerere na kuacha marais wa kiafrika wengine. Tena Nyerere alikuwa nafuu angalau alituachia madini na kutuunganisha.