Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Ulikuwa watafuta nini?Au dawa za Doctor Mwaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alitaka kujiuaNtajuaje mimi
Maana kanivuruga kwa hiyo mix
HahahaLabda alitaka kujiua
Bila shaka ulikuwa unatengeza dawa ya kuongeza nguvu za kula papuchiii
Shida yote nguvu za kiume
Huyu alikuwa anataka apunguze uzito.Nilijua imekupa nguvu ya yale mambo yetu
Huyu alikuwa anataka apunguze uzito.
[emoji23]Hahaha
amebunu mbunuId yake ni Mbunifu 11 so labda ulikuwa unafanya ubunifu wako,tuambie umebuni nini baada ya vyote hivyo?
Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
Dada jiheshimu Tafadhali tena ukomeee,kajiuwe wewe kwanza.Labda alitaka kujiua
Hebu jifunze kufikiri mambo kwa mapana zaidi,yaani wewe unawaza pilau tu, tumia ubongo wako vzr bana.Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
Wakati mwngn ni bora kupita kimya kuliko kijidhalilisha,aliyekwambia Mimi ni mwanaume ni nani,mfuuuuuuuuBila shaka ulikuwa unatengeza dawa ya kuongeza nguvu za kula papuchiii
Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo?Nguvu za kiume hazijawahi kumuacha mtu salama[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ndiyo mkuu,sema Siku hiyo niliongeza kipimo kdg.pole, umeshawahi kufanya hivyo kabla?
[emoji23][emoji23]umenichekesha sanaSasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!