Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha nini kusema mambo ya kijinga sijakuelewa wewe mtu!Kuweni makini mtakuja mjiue kwa mambo ya kijinga
Asante mkuu kwa ushauri,nyinyi ndo watu wenye busara zenu bwana.Wewe ni nani aliye kufundisha hiyo dawa? Wewe umeona wapi kuchanganya Limao pamoja na Siki ya Apple Cider Vinegar? Limao ni Asidi na Apple Cider Vinegar ni asidi inakuwaje unavichanganya pamoja?unajitafutia upatwe na maradhi? Kitu haujuwi bora
uulize sio kuparamia vitu na kujifanyiwe wenyewe utakuja kujidhuru shauri yako. Vitunguu saumu ,Tangawizi limao na Apple Cider Vinegar kazi yake ni kushusha Presha ya moyo sasa wewe umevichanganya vyote pamoja ndio
maana ukaona mabadiliko ya mapigo yako ya moyo yalikuwa yanashuka kwa haraka sana usije kutumia siku nyingine vitu hivyo kwa pamoja tutakuja kukusahau hapa jukwaani.Tumia hivi Chukuwa Vitunguu saumu punje 2 kijiko 1
kidogo cha unga wa tangawizi kijiko 1 cha limao kamuwa upate maji yake changanya kwenye glasi au kikombe 1 cha maji ya moto utie na asali safi ya nyuki kijiko 1 ni dawa nzuri kwa maradhi mengi tu. Au toa Limao weka Kijiko 1 cha Apple cider vinegar.Koroga vizuri upate kunywa asubuhi kabla ya kula kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umetisha sana.Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
Ulikuwa una boost eeeeeee?Hbr zenu wakuu,nisaidieni kuelewa haya yaliyonikuta Leo,nimeamka asbh nikachemsha tangawizi kali,,kiasi cha kikombe kile kikubwa then nikachanganya na vitu vifuatavyo nusu limao na Apple vinegar kiasi cha kijiko kimoja cha chakula nikanywaaa halafu nikachukua punhe 8 zile Nene za vitunguu swaumu nikavikatakata nikanywa kwa kusukumizia maji kidogo,jamani jamani baada kama ya dk 40 nimejisikia vby Sn yaani kama vile nikawa nawasiwasi iliyopitiliza halafu siwezi kutulia,pia nikawa mdhaifu ghafra na kakizunguzungu kwa mbaliii,yaani kama nimelewa hivi halafu pumzi nikawa nahisi kama inabana kwa mbaliii...haraka nikanywa maji mengi kidogo nikajisikia afadhali ingawa ingawa ka udhaifu ka Mwili nakahisi kwa mbalii bado kapo,hii ni mini jamani? Au huo mchanganyiko haufai kiafya?
Ndiyooo kwani shida yako wewe ni nn?Ulikuwa una boost eeeeeee?
Mbona kama ume panic punguza hasira........sasa umeleta huu uzi wa nn humu Jf?Ndiyooo kwani shida yako wewe ni nn?
Hebu achana na Uzi wangu watu waelewa waneshashauri tayari.Mbona kama ume panic punguza hasira........sasa umeleta huu uzi wa nn humu Jf?
Haina shida mkemia mkuu.........endelea tuu kuyachanganya.Hebu achana na Uzi wangu watu waelewa waneshashauri tayari.
Ni mawazo...lazima uheshimu mawazo mapya..freedom of pressUwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo?
Salaam kwenu wakuu,naona wengi mmehoji kuhusu huo mchanganyiko nilikuwa nimekusudia kutibu nini,anyway ni hivi haikuwa Mara ya kwanza kutumia nilishawahi pia kutumia na lengo ilikuwa kuzibua mlija wng mmoja wa uzazi,niliambiwa hospital kuwa umeziba,isipokuwa siku hiyo nilizidisha kipimo cha tangawizi na apple vinegar, nakuna Dawa za hospital nilikuwa natumia japo nilikuwa nimemeza usiku na ule mchanganyiko nilikunywa asbh Yake,hivyo sikuona kama ni shida Sn,kwa hivyo wakuu Mimi ni Mwanamke sio kama wengi walivyokuwa wanadakia nakusema nguvu za kiume,Mara sijuwi nini,khaaaaaa,humu kuna mambo jamani,hebu achaneni na Mimi jamani kama hujuwi kitu pita kimya waachie wanaojielewa na wenye utu watashauri kitu.Pia naomba kuwashukuru wale wote walionishauri.
Nitayaheshimu vipi mawazo yako wakati wewe hukuyaheshimu yakwangu,kwendraaaa.Ni mawazo...lazima uheshimu mawazo mapya..freedom of press
Mkuu ulikua unasumbuliwa na tatizo gani hata ukagundua kama mrija wa uzazi umeziba? maumivu ya Periods au kutopata mimba?
Sasa we jamaa poovu loote la nini?Nitayaheshimu vipi mawazo yako wakati wewe hukuyaheshimu yakwangu,kwendraaaa.
Uli Over doze kwani Limao ina shusha presha Kitunguu saumu kina shusha presha Siki ya Apple Cider Vinegar ina shusha presha na Tangawizi pia ina shusha presha sasa wewe ulikuwa na presha yenye ukubwa wa aina gani mpaka utumie dawa zote hizo kwa pamoja?Dr Fulani wa muhimbili
Kuna watu wakitumia kama presha inapanda anakua anajisikia vibaya