Tangawizi, limao, apple vinegar na vitunguu swaum vimeniletea shida

Kitunguu saumu ndio huwa kina side effects ulizotaja. Nina rafiki yangu huwa anajisikia hivyo anavitumia sana
 
Kitunguu swaumu kinashusha presha!
Nafikiri dalili ukizotaja ni presha ilishuka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
 
Salaam kwenu wakuu,naona wengi mmehoji kuhusu huo mchanganyiko nilikuwa nimekusudia kutibu nini,anyway ni hivi haikuwa Mara ya kwanza kutumia nilishawahi pia kutumia na lengo ilikuwa kuzibua mlija wng mmoja wa uzazi,niliambiwa hospital kuwa umeziba,isipokuwa siku hiyo nilizidisha kipimo cha tangawizi na apple vinegar, nakuna Dawa za hospital nilikuwa natumia japo nilikuwa nimemeza usiku na ule mchanganyiko nilikunywa asbh Yake,hivyo sikuona kama ni shida Sn,kwa hivyo wakuu Mimi ni Mwanamke sio kama wengi walivyokuwa wanadakia nakusema nguvu za kiume,Mara sijuwi nini,khaaaaaa,humu kuna mambo jamani,hebu achaneni na Mimi jamani kama hujuwi kitu pita kimya waachie wanaojielewa na wenye utu watashauri kitu.Pia naomba kuwashukuru wale wote walionishauri.
 
Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
Hebu jifunze kufikiri mambo kwa mapana zaidi,yaani wewe unawaza pilau tu, tumia ubongo wako vzr bana.
 
Bila shaka ulikuwa unatengeza dawa ya kuongeza nguvu za kula papuchiii
Wakati mwngn ni bora kupita kimya kuliko kijidhalilisha,aliyekwambia Mimi ni mwanaume ni nani,mfuuuuuuuu
 
Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
[emoji23][emoji23]umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…