Tangawizi, limao, apple vinegar na vitunguu swaum vimeniletea shida

Najiuliza lengo kuu la huo mchanganyiko ni nini hasa ulikuwa unatibu nini au wa kaz gani hasa hasa tujue kwanza
 
Asante mkuu kwa ushauri,nyinyi ndo watu wenye busara zenu bwana.
 
Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umetisha sana.
 
Yaani wewe ulikuwa unatengeneza bomu.
Sema tu siku yako haijafika
 
Ulikuwa una boost eeeeeee?
 

Mkuu ulikua unasumbuliwa na tatizo gani hata ukagundua kama mrija wa uzazi umeziba? maumivu ya Periods au kutopata mimba?
 
Hiyo vitu ulivitowa wait na potency yake ulijihakikishiaje? Siyo lazima Lila kitu kiwe na expiry date jiongeze
 
Mkuu ulikua unasumbuliwa na tatizo gani hata ukagundua kama mrija wa uzazi umeziba? maumivu ya Periods au kutopata mimba?

Mkuu nilipima kipimo cha mirija,ndo nikaambiwa hivyoo,nahata hivyo nilikuwa nahisi maumivu kwa mbali upande huo wenye shida pia ilikuwa shida Ku conceive.
 
Nimekuelewa lengo. Ila ulochotakiwa kufanya hapo ni kula punje 6 za kitunguu saumu na glass ya maziwa kila siku kabla ya kulala, huo mchanganyiko uliotumia sio sahihi.
 
Bila shaka utakua unatafuta nguvu za kiume..dawa yake ni mazoezi tu..hayo mengine yatakuja kuwaunguza matumbo
 
Dr Fulani wa muhimbili
Kuna watu wakitumia kama presha inapanda anakua anajisikia vibaya
Uli Over doze kwani Limao ina shusha presha Kitunguu saumu kina shusha presha Siki ya Apple Cider Vinegar ina shusha presha na Tangawizi pia ina shusha presha sasa wewe ulikuwa na presha yenye ukubwa wa aina gani mpaka utumie dawa zote hizo kwa pamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…