Mbunifu 11
Senior Member
- Mar 20, 2015
- 104
- 52
- Thread starter
-
- #81
Yaani nyinyi watu bana mpaka mnakera,khaaaa,nguvu za kiume nguvu za kiume,aliyekwambia Mimi ni mwanaume ni nani?Bila shaka utakua unatafuta nguvu za kiume..dawa yake ni mazoezi tu..hayo mengine yatakuja kuwaunguza matumbo
Sawa mkuu,asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi.Nimekuelewa lengo. Ila ulochotakiwa kufanya hapo ni kula punje 6 za kitunguu saumu na glass ya maziwa kila siku kabla ya kulala, huo mchanganyiko uliotumia sio sahihi.
Asante kwa ushauri mkuu Mzizi.Uli Over doze kwani Limao ina shusha presha Kitunguu saumu kina shusha presha Siki ya Apple Cider Vinegar ina shusha presha na Tangawizi pia ina shusha presha sasa wewe ulikuwa na presha yenye ukubwa wa aina gani mpaka utumie dawa zote hizo kwa pamoja?
Usiku wote huu, sio kwa kicheko hikiSasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
aUsiku wote huu, sio kwa kicheko hiki
Nguvu za kiume...kusudi akamkomoe demu eti!Sasa hio combination ulokusidia nini?
Sasa jamaa lengo lako ilikuwa ni nini sasa,au ndo ulikuwa unataka kumkomesha mtoto wa watu.
Akili yako ni ndogo,huwezi kufikiria mambo kwa mapanaNguvu za kiume...kusudi akamkomoe demu eti!
Asante kwa ushauri mkuumchanganyiko wa tangawizi na vitunguu swaumu unapelekea damu iwe nyembamba sana, ukiendelea kunywa unaweza kushangaa damu inakutoka puani, kwa sababu inakuwa imekuwa nyembemba sana, moyo ukisukuma inakwenda kasi zaidi kuliko ikiwa viscous, kuwa makini
StupidAkili yako ni ndogo,huwezi kufikiria mambo kwa mapana
Mamchanganyiko mengine sumu!!Hbr zenu wakuu,nisaidieni kuelewa haya yaliyonikuta Leo,nimeamka asbh nikachemsha tangawizi kali,,kiasi cha kikombe kile kikubwa then nikachanganya na vitu vifuatavyo nusu limao na Apple vinegar kiasi cha kijiko kimoja cha chakula nikanywaaa halafu nikachukua punhe 8 zile Nene za vitunguu swaumu nikavikatakata nikanywa kwa kusukumizia maji kidogo,jamani jamani baada kama ya dk 40 nimejisikia vby Sn yaani kama vile nikawa nawasiwasi iliyopitiliza halafu siwezi kutulia,pia nikawa mdhaifu ghafra na kakizunguzungu kwa mbaliii,yaani kama nimelewa hivi halafu pumzi nikawa nahisi kama inabana kwa mbaliii...haraka nikanywa maji mengi kidogo nikajisikia afadhali ingawa ingawa ka udhaifu ka Mwili nakahisi kwa mbalii bado kapo,hii ni mini jamani? Au huo mchanganyiko haufai kiafya?
HahahahahaBila shaka ulikuwa unatengeza dawa ya kuongeza nguvu za kula papuchiii
Ndo maana nikakwambia uwezo wako wakufikiri ni mdogo,siunaona sasa umekimbilia kutukana,hahahahaaa.Aisee achana na Uzi wngu,sitaki ma zero brain hapa mimi.Stupid
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dada jiheshimu Tafadhali tena ukomeee,kajiuwe wewe kwanza.
Huo mchanganyiko unajibu nini? Au unamsaidia nini? Hizo punje za kitunguu swaum,unazitwanga au unachanganyaje kwenye huo mchanganyiko? Unakunywa kila siku au?.Wewe ni nani aliye kufundisha hiyo dawa? Wewe umeona wapi kuchanganya Limao pamoja na Siki ya Apple Cider Vinegar? Limao ni Asidi na Apple Cider Vinegar ni asidi inakuwaje unavichanganya pamoja?unajitafutia upatwe na maradhi? Kitu haujuwi bora
uulize sio kuparamia vitu na kujifanyiwe wenyewe utakuja kujidhuru shauri yako. Vitunguu saumu ,Tangawizi limao na Apple Cider Vinegar kazi yake ni kushusha Presha ya moyo sasa wewe umevichanganya vyote pamoja ndio
maana ukaona mabadiliko ya mapigo yako ya moyo yalikuwa yanashuka kwa haraka sana usije kutumia siku nyingine vitu hivyo kwa pamoja tutakuja kukusahau hapa jukwaani.Tumia hivi Chukuwa Vitunguu saumu punje 2 kijiko 1
kidogo cha unga wa tangawizi kijiko 1 cha limao kamuwa upate maji yake changanya kwenye glasi au kikombe 1 cha maji ya moto utie na asali safi ya nyuki kijiko 1 ni dawa nzuri kwa maradhi mengi tu. Au toa Limao weka Kijiko 1 cha Apple cider vinegar.Koroga vizuri upate kunywa asubuhi kabla ya kula kitu.