TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Siku ya wapendanao, watu wengi hutumia kwa kuwa na muda wa pamoja, japo si lazima kufanya ngono, ila ikitokea mmekutana kimwili basi zingatia haya.

  • Kama mwanamke yupo kwenye siku zake leo Feb 4 (unamalizia au umeanza siku kadhaa zilizopita) kuna uwezekano mkubwa siku ya valentines day 2026 ukawa kwenye OVULATION au siku ya upevushaji wa yai.

  • Hii inamaanisha, mkikulana kavu kavu basi mimba inaweza kuingia na kabla 2026 haijaisha mkabembeleza kichanga chenu.

  • Wanaume ambao hamko tayari kuitwa baba, tumia huu uzi kama reminder ya kucheki na mpenzi au mke wako kama yuko period leo au kumuuliza amemaliza lini.

Mambo mengine ya kukumbushana:
  1. Kumwaga nje siyo njia ya kuepuka mimba - yale maji maji yanayotoka kwenye uume hata kabla hajamwaga yanaweza kuwa na sperms (shahawa) na yakasababisha mimba.

  2. Siku ya ovulation ute na utelezi unakuwepo mwingi kuliko kawaida - ambao mnapenda kuipiga deki papa au kuichapa mpaka ukuni uwe unateleza na kutoka nje, then mpenzi aliyezidiwa na mihemuko anaukamata na kuurudisha ndani fasta ili mechi iendelee, Feb 14 mtafurahia na roho zenu.

  3. Kwa mabinti - akikuambia ataingiza kichwa tu ni uongo, kiwiliwili nacho kitaingia, na mimba juu.

  4. Vilainishi au mafuta ya nazi - havizuii magonjwa ya ngono (STIs)

  5. Ongezea na wewe la kwako au mtag unayetaka kumkumbusha kuwa makini February hii.

Siku njema!
 
For Real Wow GIF by Bounce.gif


Msije kusema wamama wa JF tuna roho mbaya hatukuwaambia, otherwise hongereni wote ambao mtatumia taarifa hii kutengeneza watoto siku ya VALENTINES DAY.
 
Back
Top Bottom