Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Bora wapate hizo mimba ila sio hizo ballistic missileNakuelewa ila binafsi naona ni muhimu kutumia kinga ili usipate magonjwa wala mimba zisizotarajiwa.
Bora wapate hizo mimba ila sio hizo ballistic missileNakuelewa ila binafsi naona ni muhimu kutumia kinga ili usipate magonjwa wala mimba zisizotarajiwa.
Mambo matamu hayo kuliko kitimoto... Okay karibuUzi umetembea kama risasi za mo29
Nimechoka kuhangaika na mishangazi kama wewe maana wengi huwa mnaishia kunibamiza za pua, nimejitafakari nimeona chanzo cha tabia za hovyo kama hizo ni togwa, nimeamua ni wakatiti wa kustaafu nianze kusubiria mafao.Nini kimetokea? Apostles Binti wa zamani kuna muujiza huku
Hahaha huyo mtoto mdogo tusumbufu hutu😆 kwanza huyu anamjua babe wangu ngoja aje..Si alishasema anataka kukuoa wewe, tatizo nawe una chocho nyingi 😅
Umenipa mawazo sana🥹Mambo matamu hayo kuliko kitimoto... Okay karibuView attachment 3539038
Pambana!!😅🤝🏽Nimechoka kuhangaika na mishangazi kama wewe maana wengi huwa mnaishia kunibamiza za pua, nimejitafakari nimeona chanzo cha tabia za hovyo kama hizo ni togwa, nimeamua ni wakatiti wa kustaafu nianze kusubiria mafao.
Nimechoka mazima bora niende kanisani nikanze kulukaluka kwaya kama chura.Pambana!!
Jambo jema, imekuwaje ukabadilika ghaflaNahitaji kuacha togwa ni lazima niwe na familia ndipo akili inikae sawa, Mjusi nimezidi kuwa kijana wa hovyo sana ni wakati wa mabadiliko sasa.
Kupenda kujifanya mtoto tu 😂 😂 haya hujaelewa wapi nikueleweshe kama katoto ka miaka 9Dunia inaenda speed sana aisee,
Nahisi imeniacha nyuma sana,nimeusoma uzi ila sijaelewa kitu!
Ngoja niutafute mlango nilioingilia ili nitoke humu.
Ushamjua huyo mwenye kitimoto ni nani?Umenipa mawazo sana🥹
Namjulia wapi! Mie naenjoy moves tu hapa atajua mwenyewe😂Ushamjua huyo mwenye kitimoto ni nani?
Anapenda kubadili hizo fake ID zake kila mwezi.
Subiri akuongezee na kapili uchangamke vizuri 😅Tusubiri tuone
Ila una masihara! Yaani nisifanye kisa ni siku ya Val.. labda niwe sina hamu.Subiri akuongezee na kapili uchangamke vizuri 😅
Nyeggaaee 🙌, hapo kabinti mmetoka out, mmeenjoy usiku mmerudi home, umemuandaa, ukavalisha ukuni mpira, umepiga mbupu tatu, ndomu inapasuka na ulikua nayo moja tu 🤣🤣 unajisemea, liwalo na liwe kama katoto nitalea tu 😂Sikio la kufa linasikia dawa basi... au tunaweza sema sikio la nyeggae😀
Ule mshangazi wa juzi ndiyo chanzo.Jambo jema, imekuwaje ukabadilika ghafla
Usiwaze sana, ukaribie ukule kitimoto alafu badae ndio utawazaUmenipa mawazo sana🥹