TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

Hizi ni placebo tu, inategemea na imani ya mhusika.

Kama mtu hajui condom inamsaidiaje, ataiona kama kero na utamu hawezi pata.

Ila kama anaelewa utamu ataupata tu.
giphy 22.GIF
 
Kwani huyu nani jamani maana naona id ya kike kike kulikoni🤷🏽‍♀️
Huyu mlikua mnabebishana kwenye ID yake ya zamani mwaka jana, ni mwanaume.

Umeplekee au we ndio unaletewa? Mbona mnatuchanganya 🫢🙄
Haa haaa, hiyo ni hoteli iko huko milimani Lushoto, ndiyo anasema akupeleke.

😅😅😅 Nimechekaa kweli aiseee Kwa hii comment, mtu unanyimwa wapata makasiriko ee
Ngoja akikunyima na mshafika Tanga ndiyo utajua 😂 😂
 
Back
Top Bottom