Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
On ma way..Usiwaze sana, ukaribie ukule kitimoto alafu badae ndio utawaza

On ma way..Usiwaze sana, ukaribie ukule kitimoto alafu badae ndio utawaza

aongeze na ndizi au ka ugari ka mtamaOn ma way..![]()
Ndizi mzuzu na pilipili nyingii ugali nimeshiba😅aongeze na ndizi au ka ugari ka mtama
Watakuja tu, we subiri wiki tatu baada ya Feb 14 tutawaona humu.Kuna wale wadogo zetu watakuja anzisha nyuzi ooh wakuu msaada et mwisho wa kuona siku zake zilikua tar 4 Leo ananiambia anamimba yangu 😄😄😄
Atafanya vyote hivyo ila mwisho wa siku anawaza akufurahishe umpe mbususu bila kumpimia. Na hivi inaangukia Jumamosi, tutaona vichanga vingi Nov 😂Vijana sio siku ya ngono ni siku ya kuonyesha upendo namna unavohusudu penzi lake fanya jambo ambalo ni geni kwakwe mpelekee sehem ambayo unajua hajawah fika bila kusahau fresh roses zawad ndogo ndogo kutokana na uwezo wako sio lazma sex maana sex IPO Kila siku mnapokutana🤭
Waeleze wasijifanye hawaoni, siku ya valentines ndio mtu anawaza kukukamua! Badaaa afanye mjione wa tofauti ata kama sio🤦🏽♀️Vijana sio siku ya ngono ni siku ya kuonyesha upendo namna unavohusudu penzi lake fanya jambo ambalo ni geni kwakwe mpelekee sehem ambayo unajua hajawah fika bila kusahau fresh roses zawad ndogo ndogo kutokana na uwezo wako sio lazma sex maana sex IPO Kila siku mnapokutana🤭
We hupendi?😅😅😅😅 watu wanapenda mathusi..
Naachaje kupenda mubaba wangu mzuri 🙈🙈We hupendi?
Ni humu tu, hakuna kipengele
View attachment 3539078
Vyote siyo bora.Bora wapate hizo mimba ila sio hizo ballistic missile
Wengine ukichomoa condom tu wananuna. Anakuambia condom haimfikishi.Nyeggaaee 🙌, hapo kabinti mmetoka out, mmeenjoy usiku mmerudi home, umemuandaa, ukavalisha ukuni mpira, umepiga mbupu tatu, ndomu inapasuka na ulikua nayo moja tu 🤣🤣 unajisemea, liwalo na liweeee kama katoto nitalea tu 😂
Mbona na nyie wanaume mpo wengi tu ambao hamtaki condom, sababu inawanyima ladha?Wengine ukichomoa condom tu wananuna. Anakuambia condom haimfikishi.
Sometimes nawaelewa sana wanaozingatia bikra maanake kuna mabinti kweli hamnazo.
Ndizi mzuzu na pilipili nyingii ugali nimeshiba😅
Ukiwa na hamu hakuna kitu cha kukuzuia mamie, sijasema usifanye, we kojozwIla una masihara! Yaani nisifanye kisa ni siku ya Val.. labda niwe sina hamu.

kwani kuingia leba si ndiyo tumeumbiwa wanawake 😅Hivi mshangazi ulikufanya nini jamani?Ule mshangazi wa juzi ndiyo chanzo.
Mjiandae vizuri future fathers!
Huyu simtaki, huyu ni wa pasaka tunazungumzia malavu hapa saiz ni material things, i mean electronics 😂💔
Hizi ni placebo tu, inategemea na imani ya mhusika.Mbona na nyie wanaume mpo wengi tu ambao hamtaki condom, sababu inawanyima ladha?
Na hivi ni kweli mnakua hampati utamu mkivaa?
Umenifungia tu vioo hadi madilisha ya wazi umetumbika mapazia.Hivi mshangazi ulikufanya nini jamani?