Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Huu upigaji hapana aiseeeh, yani ukitoka hapo taukoorr unaenda kulikanda na barafu!
Nakuelewa ila binafsi naona ni muhimu kutumia kinga ili usipate magonjwa wala mimba zisizotarajiwa.Bora upewe mimba kuliko
Maradhi,
list,,,,
Hepatitis B
fungus
chronic UTI
HIV/AIDs
Mabinti na wanawake wa JF - Atoto , ephen_ , Lamomy , Mallerina , Evelyn Salt , Seran , shibela , Dr. Mariposa , Aaliyyah , nakwede97 , Demi , leo dada , Joanah , Joannah , kiss ov love , Depal , cocochanel - waiteni na wengine!Mtag unayetaka kumkumbusha kuwa makini February hii.
Wapi nimeandika ni siku ya kungonoka?Hivi kumbe imehalalishwa Valentine ni siku ya kungonoka tu??.
Nini kimetokea? Apostles Binti wa zamani kuna muujiza hukuNahitaji kuacha togwa ni lazima niwe na familia ndipo akili inikae sawa, Mjusi nimezidi kuwa kijana wa hovyo sana ni wakati wa mabadiliko sasa.
Labda amekutana na jambo limemtuliza, kukojoa huku unalia si mchezo π πNini kimetokea? Apostles Binti wa zamani kuna muujiza huku
cocasticMabinti na wanawake wa JF - Atoto , ephen_ , Lamomy , Mallerina , Evelyn Salt , Seran , shibela , Dr. Mariposa , Aaliyyah , nakwede97 , Demi , leo dada , Joanah , Joannah , kiss ov love - waiteni na wengine!
Uzi umetembea kama risasi za mo29π π π π watu wanapenda mathusi..
Kasoma uzi mambo yakamzidia uyu atoe wapi wa kumtulizaπLabda amekutana na jambo limemtuliza, kukojoa huku unalia si mchezo π π
Si alishasema anataka kukuoa wewe, tatizo nawe una chocho nyingi πKasoma uzi mambo yakamzidia uyu atoe wapi wa kumtulizaπ