Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #181
Vimewasave wengi sana hivyo vidude!Tunavyopeana ushauri kwa lazima😂 ukiona madhara ndio unahaha ukitoe🤦🏽♀️
Feb14 ina vishawishi sana mamtumishi..Uzuri niko single au ushasahau???
😄 🤣 😂 😆
Wajuaji sikuhizi hawa vijana ukiinua mkono anakiona😂 au anajifanya anakushika mkono kumbe anakigusa aone kama unacho..Vimewasave wengi sana hivyo vidude!
Ni mpaka uamue kusema, la sivyo hakuna mtu anajua umekipachika.
inabondwa haiishi ipo tuNi humu tu, ila kuwa makini .....
View attachment 3539025.....
Wa kwangu hajui hizo mambo, hajawahi kuweka na naloweka kama kawaida no.mimba wala nini.We endelea kuwadanganya wayavae 🤣🤣
Wengine wake zenu walishaweka vijiti ila hamjui 😅 wamama tuna mbinu nyingi.
Sawa, acha tufanye ni kweli hajui 😅Wa kwangu hajui hizo mambo, hajawahi kuweka na naloweka kama kawaida no.mimba wala nini.
Kujua anajua ila nina uhakika hajawahi, mwanamke anayetumia hayo mavitu anajulikana kirahisi sana...si tunawaweka mtaani tunaona🏃🏃🏃🏃🏃Sawa, acha tufanye ni kweli hajui 😅
🤣 🤣 Mpare 🙌🙌Si tunawaweka mtaani tunaona🏃🏃🏃🏃🏃
Acha basi, tumeshazeeka sasa!😅🤣 🤣 Mpare 🙌🙌
Wawape tamu, ila msipeane magonjwa na msitiane mimba kama hamko tayari kuwa wazazi 😅Duh!
Wanaume hatutapewa utamu kama wote!
☹️😞😟😢😥😦😓
Sina ht wa kunishawishFeb14 ina vishawishi sana mamtumishi..
Wawape tamu, ila msipeane magonjwa na msitiane mimba kama hamko tayari kuwa wazazi 😅
Haya mambo ni matamu si mchezoSiku ya wapendanao, watu wengi hutumia kwa kuwa na muda wa pamoja, japo si lazima kufanya ngono, ila ikitokea mmekutana kimwili basi zingatia haya.
- Kama mwanamke yupo kwenye siku zake leo Feb 4 (unamalizia au umeanza siku kadhaa zilizopita) kuna uwezekano mkubwa siku ya valentines day 2026 ukawa kwenye OVULATION au siku ya upevushaji wa yai.
- Hii inamaanisha, mkikulana kavu kavu basi mimba inaweza kuingia na kabla 2026 haijaisha mkabembeleza kichanga chenu.
- Wanaume ambao hamko tayari kuitwa baba, tumia huu uzi kama reminder ya kucheki na mpenzi au mke wako kama yuko period leo au kumuuliza amemaliza lini.
Mambo mengine ya kukumbushana:
- Kumwaga nje siyo njia ya kuepuka mimba - yale maji maji yanayotoka kwenye uume hata kabla hajamwaga yanaweza kuwa na sperms (shahawa) na yakasababisha mimba.
- Siku ya ovulation ute na utelezi unakuwepo mwingi kuliko kawaida - ambao mnapenda kuipiga deki papa au kuichapa mpaka ukuni uwe unateleza na kutoka nje, then mpenzi aliyezidiwa na mihemuko anaukamata na kuurudisha ndani fasta ili mechi iendelee, Feb 14 mtafurahia na roho zenu.
- Kwa mabinti - akikuambia ataingiza kichwa tu ni uongo, kiwiliwili nacho kitaingia, na mimba juu.
- Vilainishi au mafuta ya nazi - havizuii magonjwa ya ngono (STIs)
- Ongezea na wewe la kwako au mtag unayetaka kumkumbusha kuwa makini February hii.
Siku njema!
hapo ufa woote unaonekana na kile cha mviringo cha juu
We na sekunde zako 30 acha ikupite hii style
Tatizo lake anahangaika sana 😅We na sekunde zako 30 acha upside hii style
Ndiyo ila mfanye kwa umakini, siyo poa kujizolea magonjwa au mimba zisizotarajiwa siku hiyo.Haya mambo ni matamu si mchezo