Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Uzuri mie sina hofu, hivi✌️ na 😝 =💦Kama una mchuano, kuna namna ya kuavoid hizo tarehe, ichelewe chelewe 🤣🤣
Uzuri mie sina hofu, hivi✌️ na 😝 =💦Kama una mchuano, kuna namna ya kuavoid hizo tarehe, ichelewe chelewe 🤣🤣
Mavi yake, simtaki hata kwa bahati mbaya..!! 😹😹Huwezi jua Ex atarudi na mbinu gani za kukulainisha mwanakwetu 😅
Sasa wewe si utavikosa ✌️ na 😝, unaweza tu kumfanyia ila kwako hakuingiliki.Uzuri mie sina hofu, hivi✌️ na 😝 =💦
Ngoja aje na kibunda M10 ya kukuongezea mtaji, uone kama unachomoka!Mavi yake, simtaki hata kwa bahati mbaya..!! 😹😹
Ameen, maombi yangu yamejibiwa hatimae nimeanza kuikaribia pepo, mshangazi umelegeza kamba.Utapata tu rafkiangu usimsumbue babaView attachment 3539159
Flo ni muongo six days hapana 😅 una hatari mwanamke nangay🤣💔😂😂😂😂
Hapana kwakweli, shindwa na ulegee.Mbona mapema hivi, hutaki kamoja ka kuhangaika nako uzeeni 😅!
Mawazo ya "sijui nizae tena" muda mwingine huwa yananijia, nayakemea kwa nguvu 🤣 .
Ni 5 days, hiyo 6 nadhan wanaiweka ya kumalizia malizia japo me mwisho ni 5Flo ni muongo six days hapana 😅 una hatari mwanamke nangay🤣💔
Madogo karibu wote wana UKIMWI wala hawajali tenaBora upewe mimba kuliko
Maradhi,
list,,,,
Hepatitis B
fungus
chronic UTI
HIV/AIDs
dah,Madogo karibu wote wana UKIMWI wala hawajali tena
Watu wameoza , ukileta habari za kuwaonya umakini wanakuona mbwigadah,
Hatari sana aise
watu wanaumwaWatu wameoza , ukileta habari za kuwaonya umakini wanakuona mbwiga
Hivi nini maana ya mbwiga? O level nilisoma na kijana anaitwa mbwiga..Watu wameoza , ukileta habari za kuwaonya umakini wanakuona mbwiga
Serikali imetupilia mbali swala ya elimu kuhusu magonjwa ya zinaa na kujikinga inasikitisha sanawatu wanaumwa
too bad,Serikali imetupilia mbali swala ya elimu kuhusu magonjwa ya zinaa na kujikinga inasikitisha sana
Mbwiga ni kiswahili sanifu cha twiga , ila mimi nimetumia kama mshamba au wa kuja , kiazi au goigoiHivi nini maana ya mbwiga? O level nilisoma na kijana anaitwa mbwiga..
KUNYETUKA NDO NJIA PEKEE YENYE UFANISI!Siku ya wapendanao, watu wengi hutumia kwa kuwa na muda wa pamoja, japo si lazima kufanya ngono, ila ikitokea mmekutana kimwili basi zingatia haya.
- Kama mwanamke yupo kwenye siku zake leo Feb 4 (unamalizia au umeanza siku kadhaa zilizopita) kuna uwezekano mkubwa siku ya valentines day 2026 ukawa kwenye OVULATION au siku ya upevushaji wa yai.
- Hii inamaanisha, mkikulana kavu kavu basi mimba inaweza kuingia na kabla 2026 haijaisha mkabembeleza kichanga chenu.
- Wanaume ambao hamko tayari kuitwa baba, tumia huu uzi kama reminder ya kucheki na mpenzi au mke wako kama yuko period leo au kumuuliza amemaliza lini.
Mambo mengine ya kukumbushana:
- Kumwaga nje siyo njia ya kuepuka mimba - yale maji maji yanayotoka kwenye uume hata kabla hajamwaga yanaweza kuwa na sperms (shahawa) na yakasababisha mimba.
- Siku ya ovulation ute na utelezi unakuwepo mwingi kuliko kawaida - ambao mnapenda kuipiga deki papa au kuichapa mpaka ukuni uwe unateleza na kutoka nje, then mpenzi aliyezidiwa na mihemuko anaukamata na kuurudisha ndani fasta ili mechi iendelee, Feb 14 mtafurahia na roho zenu.
- Kwa mabinti - akikuambia ataingiza kichwa tu ni uongo, kiwiliwili nacho kitaingia, na mimba juu.
- Vilainishi au mafuta ya nazi - havizuii magonjwa ya ngono (STIs)
- Ongezea na wewe la kwako au mtag unayetaka kumkumbusha kuwa makini February hii.
Siku njema!
Tumemwaga nje miaka na miaka na hatujawahi kutungisha mimba😅Siku ya wapendanao, watu wengi hutumia kwa kuwa na muda wa pamoja, japo si lazima kufanya ngono, ila ikitokea mmekutana kimwili basi zingatia haya.
- Kama mwanamke yupo kwenye siku zake leo Feb 4 (unamalizia au umeanza siku kadhaa zilizopita) kuna uwezekano mkubwa siku ya valentines day 2026 ukawa kwenye OVULATION au siku ya upevushaji wa yai.
- Hii inamaanisha, mkikulana kavu kavu basi mimba inaweza kuingia na kabla 2026 haijaisha mkabembeleza kichanga chenu.
- Wanaume ambao hamko tayari kuitwa baba, tumia huu uzi kama reminder ya kucheki na mpenzi au mke wako kama yuko period leo au kumuuliza amemaliza lini.
Mambo mengine ya kukumbushana:
- Kumwaga nje siyo njia ya kuepuka mimba - yale maji maji yanayotoka kwenye uume hata kabla hajamwaga yanaweza kuwa na sperms (shahawa) na yakasababisha mimba.
- Siku ya ovulation ute na utelezi unakuwepo mwingi kuliko kawaida - ambao mnapenda kuipiga deki papa au kuichapa mpaka ukuni uwe unateleza na kutoka nje, then mpenzi aliyezidiwa na mihemuko anaukamata na kuurudisha ndani fasta ili mechi iendelee, Feb 14 mtafurahia na roho zenu.
- Kwa mabinti - akikuambia ataingiza kichwa tu ni uongo, kiwiliwili nacho kitaingia, na mimba juu.
- Vilainishi au mafuta ya nazi - havizuii magonjwa ya ngono (STIs)
- Ongezea na wewe la kwako au mtag unayetaka kumkumbusha kuwa makini February hii.
Siku njema!
Kuna bar moja nilikaa na kula bia zangu ,vijana wanafanya ngono chafu hovyo hadharani kama mahayawani vile 🚮too bad,
labda kijana ajitambue mwenyewe kupitia wazazi