Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #121
Ila unamtesa sana jamani 😅 😅View attachment 3539150
Hahaaa sugua goti kijana
Ila unamtesa sana jamani 😅 😅View attachment 3539150
Hahaaa sugua goti kijana
Pesa yako tu boss kubwa😅😅 Na ya nyongeza nitapata we jamaaa yangu
Akome kwakweli 🤣💔Ila unamtesa sana jamani 😅 😅
Sawa boss yangu na jamaa yangu.. niletee mbili tu 😎😎Pesa yako tu boss kubwa
Kejeri za mshangazi na zifike mbele zako eee baba, unibariki nimtumbue majipu!View attachment 3539150
Hahaaa sugua goti kijana
Sawa ntakutumia soft copy..Sawa boss yangu na jamaa yangu.. niletee mbili tu 😎😎
Utapata tu rafkiangu usimsumbue babaKejeri za mshangazi na zifike mbele zako eee baba, unibariki nimtumbue majipu!
Hivi vi-juice hapana kwakweli labda kupooza tu koo..🤓Jamaa yangu Seran karibu ujipigie kamoja hapaView attachment 3539158
😎😎 Na hardcopy jamaaSawa ntakutumia soft copy..
Hivi tunakunywa wamama eeeh 😂😂😂Hivi vi-juice hapana kwakweli labda kupooza tu koo..🤓
Ondoa shaka jamaa😎😎 Na hardcopy jamaa
Ndioo, sisi wababa tunapenda hard core drinks kipenzi☺️Hivi tunakunywa wamama eeeh 😂😂😂
Sawa mubaba jamaaa, mie sina neno atiii..😎 mambo yenu magumu magumu yatachoma koo bureNdioo, sisi wababa tunapenda hard core drinks kipenzi☺️
Mbona mapema hivi, hutaki kamoja ka kuhangaika nako uzeeni 😅!Mie nilishafunga mahesabu kitaaambo🤣🤣🤣
Niko single mimba naitolea wapi mahi? 😹😹😹Mabinti na wanawake wa JF - Atoto , ephen_ , Lamomy , Mallerina , Evelyn Salt , Seran , shibela , Dr. Mariposa , Aaliyyah , nakwede97 , Demi , leo dada , Joanah , Joannah , kiss ov love - waiteni na wengine!
Kama una mchuano, kuna namna ya kuavoid hizo tarehe, ichelewe chelewe 🤣🤣😂😂😂😂
Huwezi jua Ex atarudi na mbinu gani za kukulainisha mwanakwetu 😅Niko single mimba naitolea wapi mahi? 😹😹😹