secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wa mbwiguke au.mbwiga
Wa mbwiguke au.mbwiga
Sifahamu unazungumzia niniWa mbwiguke au.
wanakosa ufahamu wa baadhi ya mambo kama Reproductive health...nkKuna bar moja nilikaa na kula bia zangu ,vijana wanafanya ngono chafu hovyo hadharani kama mahayawani vile 🚮
Wanafakamia ngono kama wamezigundua leo , madogo ni goigoi sanawanakosa ufahamu wa baadhi ya mambo kama Reproductive health...nk
Namzungumzia Mbwiga wa mbwiguke, wa clauds FM.Sifahamu unazungumzia nini
Kumbee! Naona unaitumia hii sana mkuu.. nikaona nikuulize🌚Mbwiga ni kiswahili sanifu cha twiga , ila mimi nimetumia kama mshamba au wa kuja , kiazi au goigoi
badae wanaanza kulia LiaWanafakamia ngono kama wamezigundua leo , madogo ni goigoi sana
😅badae wanaanza kulia Lia
Ooh naumwa uume kumbe kashapata gono haelewi
Yap ni kweli mastaKumbee! Naona unaitumia hii sana mkuu.. nikaona nikuulize🌚
balaa
Mbona elimu inatolewa, sema vijana tu wanakaza mafuvu!Serikali imetupilia mbali swala ya elimu kuhusu magonjwa ya zinaa na kujikinga inasikitisha sana
We endelea kuwadanganya wayavae 🤣🤣Tumemwaga nje miaka na miaka na hatujawahi kutungisha mimba😅
Mhm sio kama kipindi cha nyuma , kipindi cha nyuma mpaka waliweka sinema za video za hayo magonjwa, mabango kila kona vipeperushi ndio usiseme, hii ilinifanya mpaka leo nimuoga , nafikiri hata wa rika langu pia ni waoga tu.Mbona elimu inatolewa, sema vijana tu wanakaza mafuvu!
Vijana wa sasa tunapepeyaa😅Mhm sio kama kipindi cha nyuma , kipindi cha nyuma mpaka waliweka sinema za video za hayo magonjwa, mabango kila kona vipeperushi ndio usiseme, hii ilinifanya mpaka leo nimuoga , nafikiri hata wa rika langu pia ni waoga tu.
Ila vijana wa sasa hawajali wala kuwaza
Tunavyopeana ushauri kwa lazima😂 ukiona madhara ndio unahaha ukitoe🤦🏽♀️Wangekua wanakuja kwenye vikao vyetu vya vikundi, wasingeamini masikio yao 😂
Ni kweli, nakumbuka kuona picha kwenye kipeperushi cha mgonjwa na vidonda vyake, nikaogopa mno mambo ya ngono zembe.Mhm sio kama kipindi cha nyuma , kipindi cha nyuma mpaka waliweka sinema za video za hayo magonjwa, mabango kila kona vipeperushi ndio usiseme, hii ilinifanya mpaka leo nimuoga , nafikiri hata wa rika langu pia ni waoga tu.
Ila vijana wa sasa hawajali wala kuwaza
Pepeeni tu mtajua mwenyeweVijana wa sasa tunapepeyaa😅
Uzuri niko single au ushasahau???