TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

Sasa simutangaze kwamba ajira ni mpaka wajitolee kwanza?
 
Hakuna ajira zozote zitakazo toka kama unabisha endelea kusubiri uone
 
Nilisikia tangu mwaka jana ilikuwa waajiri waalimu 12000 na kada ya Afya nafikiri 11500 ila baada ya mdororo mkwa wa Uchumi duniani uliosababishwa na Corona iliyo futilia mbali utalii na hivyo biashara nyingi zikiwemo mahoteli kokosa wateja; imewawia Ngumu kutekeleza; ila bado watu wanaimani kuwa Magu akitamka hutekeleza...
 
Ndugu ktk kada inayodharaulika nchi hii ndio hii,ukipata wasaa jaribu kuwauliza kwann waliacha huo ualimu na kukimbilia siasa?
Sijui kwanini Walimu wakipata madaraka hua wanasahau walimu wenzao.

Magu na Majaliwa si walikua ni walimu?

Ajabu sana.
 
Hizo zitakua za kitapeli miaka mitano sikusikia cha ajira zije kutangazwa mwaka huu baada ya maji kuwafikia shingoni hata wafanyeje spana zinawahusu mwaka huu.
 
Serikali haitakiwi kuwa na ubabaishaji mambo yake straight. Siyo kusubiri wananchi wajiongeze.
Ubabaishaji upi ikiwa familia zetu hatutiniziii mahitaji yote kwa wakati iwe serikalk ndugu, kumbuka mfumo wa serikali ni kama familia baba mama na watoto, ndugu na jamaa na marafiki kwaiyo changamoto unazopitia wewe katika familia ndio hizo hizo serikali zinapitia kwq upande wake

Tatizo lipo wapi sisi wanainchi tupo kama watoto wadogo kwenye familia ambao tunajua baba na mama hawawezi kosa hela kwa sababh wao ni wazazi kwaiyo tukiona pipi kisa baba yupo tunataka hata kama baba kapigika baba naye kwakua ndio mlezi hawezi sema sina pesa anatumia njia yoyote kukutuliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…