TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

Ajira zipo, ushauri wangu kama wewe ni mhitimu katika fani ya uwalimu na upo karibu na shule ya umma basi nenda hapo shuleni na vyeti vyako muombe mkuu wa shule au mwalimu mkuu kuwa unaomba kujitolea kwakua hakuna malipo muombe ufundishe, utoe mazoezi kisha uendelee na shughuli zako nyigine

Kwanini nasema hivyo hizo ajira 12 elfu unazosema wamepatiwa walimu waliokuwa wanajilotea mda wowote kuanzia sasa wataachia vituo vyao vya kazi huo ndio utaratibu uliotumika

Kwaiyo nendeni mkajitolee kwanza.
Sasa simutangaze kwamba ajira ni mpaka wajitolee kwanza?
 
Hakuna ajira zozote zitakazo toka kama unabisha endelea kusubiri uone
 
Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari...

Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari...

Ukiingia katika website ya TAMISEMI, utaliona tangazo hilo pia....

Aidha vijana maelfu kwa maelfu waliohitimu mafunzo ya ualimu ktk vyuo mbalimbali kwa ngazi tofauti, cheti hadi shahada wanaosota mitaani, walifurahia habari hiyo...

Haraka haraka "link" ya tangazo ikadokolewa na kuanza kusambaa kwa kasi ya umeme kupitia social medias km FB, Twitter, Instagram, WhatsApp nk wakitaarifiana kuhusu fursa hii...

Mimi ikanifikia kupitia WhatsApp nami bila kusita nikashea na baadhi ya vijana ninaowafahamu ili wajaribu kutuma maombi kubahatisha kupata kazi hiyo....

Tangazo linasema, kila muhitimu mwenye sifa aombe nafasi ONLINE kwa utaratibu ambao umeelezwa vizuri tu ndani ya tangazo hilo...

Very unfortunately, na haieleweki hasa tatizo ni nini kwani kila aliyeomba, anaambiwa asubiri "utaratibu haujakamilika, na ukishakuwa tayari utataarifiwa"...

This is a serious Joke Mh. Selemani Jaffo....!!

Wewe ukiwa kama Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI, huwezi kutoka hadharani na kutangaza hili jambo huku ukitambua kuwa utaratibu haujakamilika.....!

Mnajua ni usumbufu kiasi gani mmesababisha kwa vijana wetu ambao wako so desperate mitaani?

Tungependa kujua haya tafadhali;

å Je, hii siyo ulaghai uleule wa miaka karibu mitano ya CCM na serikali wanayoingoza?

å Au je, hizi siyo siasa zilizile za ulaghai wa CCM zilizodumu miaka mitano sasa ya Magufuli na kukolezwa na harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 kuwahadaa watanzania??
Nilisikia tangu mwaka jana ilikuwa waajiri waalimu 12000 na kada ya Afya nafikiri 11500 ila baada ya mdororo mkwa wa Uchumi duniani uliosababishwa na Corona iliyo futilia mbali utalii na hivyo biashara nyingi zikiwemo mahoteli kokosa wateja; imewawia Ngumu kutekeleza; ila bado watu wanaimani kuwa Magu akitamka hutekeleza...
 
Ndugu ktk kada inayodharaulika nchi hii ndio hii,ukipata wasaa jaribu kuwauliza kwann waliacha huo ualimu na kukimbilia siasa?
Sijui kwanini Walimu wakipata madaraka hua wanasahau walimu wenzao.

Magu na Majaliwa si walikua ni walimu?

Ajabu sana.
 
Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari...

Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari...

Ukiingia katika website ya TAMISEMI, utaliona tangazo hilo pia....

Aidha vijana maelfu kwa maelfu waliohitimu mafunzo ya ualimu ktk vyuo mbalimbali kwa ngazi tofauti, cheti hadi shahada wanaosota mitaani, walifurahia habari hiyo...

Haraka haraka "link" ya tangazo ikadokolewa na kuanza kusambaa kwa kasi ya umeme kupitia social medias km FB, Twitter, Instagram, WhatsApp nk wakitaarifiana kuhusu fursa hii...

Mimi ikanifikia kupitia WhatsApp nami bila kusita nikashea na baadhi ya vijana ninaowafahamu ili wajaribu kutuma maombi kubahatisha kupata kazi hiyo....

Tangazo linasema, kila muhitimu mwenye sifa aombe nafasi ONLINE kwa utaratibu ambao umeelezwa vizuri tu ndani ya tangazo hilo...

Very unfortunately, na haieleweki hasa tatizo ni nini kwani kila aliyeomba, anaambiwa asubiri "utaratibu haujakamilika, na ukishakuwa tayari utataarifiwa"...

This is a serious Joke Mh. Selemani Jaffo....!!

Wewe ukiwa kama Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI, huwezi kutoka hadharani na kutangaza hili jambo huku ukitambua kuwa utaratibu haujakamilika.....!

Mnajua ni usumbufu kiasi gani mmesababisha kwa vijana wetu ambao wako so desperate mitaani?

Tungependa kujua haya tafadhali;

å Je, hii siyo ulaghai uleule wa miaka karibu mitano ya CCM na serikali wanayoingoza?

å Au je, hizi siyo siasa zilizile za ulaghai wa CCM zilizodumu miaka mitano sasa ya Magufuli na kukolezwa na harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 kuwahadaa watanzania??
Hizo zitakua za kitapeli miaka mitano sikusikia cha ajira zije kutangazwa mwaka huu baada ya maji kuwafikia shingoni hata wafanyeje spana zinawahusu mwaka huu.
 
Serikali haitakiwi kuwa na ubabaishaji mambo yake straight. Siyo kusubiri wananchi wajiongeze.
Ubabaishaji upi ikiwa familia zetu hatutiniziii mahitaji yote kwa wakati iwe serikalk ndugu, kumbuka mfumo wa serikali ni kama familia baba mama na watoto, ndugu na jamaa na marafiki kwaiyo changamoto unazopitia wewe katika familia ndio hizo hizo serikali zinapitia kwq upande wake

Tatizo lipo wapi sisi wanainchi tupo kama watoto wadogo kwenye familia ambao tunajua baba na mama hawawezi kosa hela kwa sababh wao ni wazazi kwaiyo tukiona pipi kisa baba yupo tunataka hata kama baba kapigika baba naye kwakua ndio mlezi hawezi sema sina pesa anatumia njia yoyote kukutuliza tu
 
Back
Top Bottom