TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541
Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari...

Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari...

Ukiingia katika website ya TAMISEMI, utaliona tangazo hilo pia....

Aidha vijana maelfu kwa maelfu waliohitimu mafunzo ya ualimu ktk vyuo mbalimbali kwa ngazi tofauti, cheti hadi shahada wanaosota mitaani, walifurahia habari hiyo...

Haraka haraka "link" ya tangazo ikadokolewa na kuanza kusambaa kwa kasi ya umeme kupitia social medias km FB, Twitter, Instagram, WhatsApp nk wakitaarifiana kuhusu fursa hii...

Mimi ikanifikia kupitia WhatsApp nami bila kusita nikashea na baadhi ya vijana ninaowafahamu ili wajaribu kutuma maombi kubahatisha kupata kazi hiyo....

Tangazo linasema, kila muhitimu mwenye sifa aombe nafasi ONLINE kwa utaratibu ambao umeelezwa vizuri tu ndani ya tangazo hilo...

Very unfortunately, na haieleweki hasa tatizo ni nini kwani kila aliyeomba, anaambiwa asubiri "utaratibu haujakamilika, na ukishakuwa tayari utataarifiwa"...

This is a serious Joke Mh. Selemani Jaffo....!!

Wewe ukiwa kama Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI, huwezi kutoka hadharani na kutangaza hili jambo huku ukitambua kuwa utaratibu haujakamilika.....!

Mnajua ni usumbufu kiasi gani mmesababisha kwa vijana wetu ambao wako so desperate mitaani?

Tungependa kujua haya tafadhali;

å Je, hii siyo ulaghai uleule wa miaka karibu mitano ya CCM na serikali wanayoingoza?

å Au je, hizi siyo siasa zilizile za ulaghai wa CCM zilizodumu miaka mitano sasa ya Magufuli na kukolezwa na harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 kuwahadaa watanzania??
 
BADO WENGINE TUNADAI MALIMBIKIZO YA MSHAHARA.
 
Sio kweli. Hakuna sehemu waliyosema watu waombe kazi maana utaratibu wa kutangaza kazi haukukamilika bado.
 
Waulizeni wale vijana wa jkt wenye bachelor na ajira 800 walichukuliwa wangapi ndo utajua hii nchi ya inaendeshwa kisiasa
 
Ajira zipo, ushauri wangu kama wewe ni mhitimu katika fani ya uwalimu na upo karibu na shule ya umma basi nenda hapo shuleni na vyeti vyako muombe mkuu wa shule au mwalimu mkuu kuwa unaomba kujitolea kwakua hakuna malipo muombe ufundishe, utoe mazoezi kisha uendelee na shughuli zako nyigine

Kwanini nasema hivyo hizo ajira 12 elfu unazosema wamepatiwa walimu waliokuwa wanajilotea mda wowote kuanzia sasa wataachia vituo vyao vya kazi huo ndio utaratibu uliotumika

Kwaiyo nendeni mkajitolee kwanza.
 
Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari...

Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari...

Ukiingia katika website ya TAMISEMI, utaliona tangazo hilo pia....

Aidha vijana maelfu kwa maelfu waliohitimu mafunzo ya ualimu ktk vyuo mbalimbali kwa ngazi tofauti, cheti hadi shahada wanaosota mitaani, walifurahia habari hiyo...

Haraka haraka "link" ya tangazo ikadokolewa na kuanza kusambaa kwa kasi ya umeme kupitia social medias km FB, Twitter, Instagram, WhatsApp nk wakitaarifiana kuhusu fursa hii...

Mimi ikanifikia kupitia WhatsApp nami bila kusita nikashea na baadhi ya vijana ninaowafahamu ili wajaribu kutuma maombi kubahatisha kupata kazi hiyo....

Tangazo linasema, kila muhitimu mwenye sifa aombe nafasi ONLINE kwa utaratibu ambao umeelezwa vizuri tu ndani ya tangazo hilo...

Very unfortunately, na haieleweki hasa tatizo ni nini kwani kila aliyeomba, anaambiwa asubiri "utaratibu haujakamilika, na ukishakuwa tayari utataarifiwa"...

This is a serious Joke Mh. Selemani Jaffo....!!

Wewe ukiwa kama Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI, huwezi kutoka hadharani na kutangaza hili jambo huku ukitambua kuwa utaratibu haujakamilika.....!

Mnajua ni usumbufu kiasi gani mmesababisha kwa vijana wetu ambao wako so desperate mitaani?

Tungependa kujua haya tafadhali;

å Je, hii siyo ulaghai uleule wa miaka karibu mitano ya CCM na serikali wanayoingoza?

å Au je, hizi siyo siasa zilizile za ulaghai wa CCM zilizodumu miaka mitano sasa ya Magufuli na kukolezwa na harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 kuwahadaa watanzania??
Unawaona ni wengi sana?
 
Kwa serikali hii, mwaka wa uchaguzi ni sawa na "siku ya wajinga", mtaambiwa kila kitu.

Mwaka huu hakutakuwa na ahadi ya sh milioni 50 kila kijiji bali itakuja ahadi ya kila raia kupewa milioni 5. Na watanzania wasivyo na makuu, watashangilia kwa kuletewa mkombozi wa wanyonge maana milioni 5 siyo haba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli. Hakuna sehemu waliyosema watu waombe kazi maana utaratibu wa kutangaza kazi haukukamilika bado.

Unabisha nini sasa? Tangazo liko very clear. Linasema waombaji wote, waombe online...

Hii maana yake kila kitu kilishapangwa na kiko tayari...

Lakini, utekelezaji wake ni ZERO...
 
Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari...

Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari...

Ukiingia katika website ya TAMISEMI, utaliona tangazo hilo pia....

Aidha vijana maelfu kwa maelfu waliohitimu mafunzo ya ualimu ktk vyuo mbalimbali kwa ngazi tofauti, cheti hadi shahada wanaosota mitaani, walifurahia habari hiyo...

Haraka haraka "link" ya tangazo ikadokolewa na kuanza kusambaa kwa kasi ya umeme kupitia social medias km FB, Twitter, Instagram, WhatsApp nk wakitaarifiana kuhusu fursa hii...

Mimi ikanifikia kupitia WhatsApp nami bila kusita nikashea na baadhi ya vijana ninaowafahamu ili wajaribu kutuma maombi kubahatisha kupata kazi hiyo....

Tangazo linasema, kila muhitimu mwenye sifa aombe nafasi ONLINE kwa utaratibu ambao umeelezwa vizuri tu ndani ya tangazo hilo...

Very unfortunately, na haieleweki hasa tatizo ni nini kwani kila aliyeomba, anaambiwa asubiri "utaratibu haujakamilika, na ukishakuwa tayari utataarifiwa"...

This is a serious Joke Mh. Selemani Jaffo....!!

Wewe ukiwa kama Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI, huwezi kutoka hadharani na kutangaza hili jambo huku ukitambua kuwa utaratibu haujakamilika.....!

Mnajua ni usumbufu kiasi gani mmesababisha kwa vijana wetu ambao wako so desperate mitaani?

Tungependa kujua haya tafadhali;

å Je, hii siyo ulaghai uleule wa miaka karibu mitano ya CCM na serikali wanayoingoza?

å Au je, hizi siyo siasa zilizile za ulaghai wa CCM zilizodumu miaka mitano sasa ya Magufuli na kukolezwa na harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 kuwahadaa watanzania??
Huo ni muendelezo wa usanii wa ccm kuelekea uchaguzi mkuu
 
Unabisha nini sasa? Tangazo liko very clear. Linasema waombaji wote, waombe online...

Hii maana yake kila kitu kilishapangwa na kiko tayari...

Lakini, utekelezaji wake ni ZERO...
Sawa Omba hiyo kazi
 
kampeni

Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Back
Top Bottom