Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

Wamerundika vijana toka 2015 ... Huyu kijana leo hii lazima atakuwa na umri kati ya miaka 31 - 35.. afu wanatoa ajira wanasema mwisho mwenye umri wa miaka 30.. jamani inaumiza sanaa
Mkuu hata mimi nmeona hiyo kitu mfumo unawatema wengi kwa kete ua umri.

Mimi nashauri vijana waombe kazi, kwa upande wangu nilishachagua kukomaa kimtaa mtaa sitaki kabisa mambo ya ajira
 
Mbona madaktari wenye degree wanaomba? Polisi kuna vitengo sio ulinzi pekee.
Labda wewe useme jeshi la nchi gani duniani halihitaji Engineers
Acheni kujitetea Kwa hoja za kulazimishia inshort you have failed and you are not professional personer
 
Mbn sioni lolote kuhusu jkt au ndo wamefuta kweli hicho kigezo na kama kimefutwa je jw na wao pia hawatokitumia kwenye nafasi za ajira watakazo toa?🥴🥴*
 
Naskia n kweli
Tatizo kigezo Cha elimu wengi kitatpga chenga maana wengi wamehtimu miaka ya nyuma wao wameweka awe amehtim 2018-2023
Kuna mtu ambae kafanikiwa kutuma maombi maana naona mpaka saiv haifunguki🥴
 
Kuna mtu ambae kafanikiwa kutuma maombi maana naona mpaka saiv haifunguki[emoji3061]
Mimi nimefanikiwa mkuu, toka jana sema nilihangaika na website toka mchana mpaka jioni ndo nikafanikiwa, so inabidi ukomae nao mpaka ukubali
 
Back
Top Bottom