TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI - MWANZA

TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI - MWANZA

detected

Senior Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
148
Reaction score
133
Nafasi: Wasaidizi wa Kukusanya Data za Wateja
Eneo: Mwanza Mjini
Muda wa Kazi: Mwezi Mmoja
Mwisho wa Maombi : 27-02-2025

CollectTech Limited inatangaza nafasi za muda kwa vijana wanaoishi Mwanza Mjini kwa ajili ya kazi ya kukusanya data za wateja.

Sifa za Mwombaji:

• Awe mkazi wa Mwanza Mjini.

• Elimu ya kuanzia kidato cha nne.

• Awe na simu ya kisasa (smartphone).

• Awe na uwezo wa kufuata maelekezo na kufanya kazi kwa bidii.

Masharti ya Kazi:

• Kazi itafanyika kwa muda wa mwezi mmoja tu

• Malipo yatafanyika kila siku baada ya kazi.

Wenye sifa na nia ya kufanya kazi hii wajaze fomu hii imeambatanishwa

Maombi yatumwe mapema kwani nafasi ni chache.

CollectTech Limited

 
Malipo ni USD Ngapi nimstue dogo langu hapo mkuyuni?
 
Kukusanya data au unaenda kuwabebesha vyombo vya plastic huku mkiwavesha tai chini mocca jion Sana elfu 2 kesho inabidi muwai
 
Kukusanya data au unaenda kuwabebesha vyombo vya plastic huku mkiwavesha tai chini mocca jion Sana elfu 2 kesho inabidi muwai
Hahaha... suti kali, tai kama ya Mh, beseni kichwani na afu 2 kwa siku ni unyama sana
 
Back
Top Bottom