Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Angetangaza unavyotaka marehemu angefufuka? wacha kuwa na akili za kijingacontents za tangazo kwa kweli lilikuwa linaboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angetangaza unavyotaka marehemu angefufuka? wacha kuwa na akili za kijingacontents za tangazo kwa kweli lilikuwa linaboa
Pascal Mayalla , umeanza kuponda halafu mwishoni unapamba kuwa na msimamo mmoja au sema wazi kama Msigwa hatoshiWanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.
Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.
Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.
Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, lakini kuna dress code ya msiba. Wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.
Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.
- Jina la Kiongozi ni nani
- Kifo kimetokea lini
- Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
- Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
- Kama ni hospitalini, hospitali gani
- Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.
My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.
Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!
Pasco ana akili sana. Tatizo njaa ndio inamtesa.Baada ya kukosa teuzi umeanza zile mada zako halisi sio zile za kusifu na kuabudu
ninachojua mm raisi hayupo smart kwenye presentation mtu smart sio kila kitu uandikeSababu ya kifo hiki ni siri kubwa.
Wanabodi,

Kama kawaida unanapenzi kweli na coronaHako kaugonjwa wanakokaita security issue katakuwa miezi ya karibuni kamewachanganya.
Ugonjwa ni ugonjwa tu wakuu.
Iwe malaria, typhoid, Cancer, nk zote zinauwa. Mgonjwa hufa kwa ugonjwa mmoja. Jina la ugonjwa husika hayupo mwenye kulipanga lakini mola peke yake.
Pumzika kwa amani jabali la muziki.
Hili na mie kidogo nilianzishie uzi, nikaona nisianze kutoa lawama mzee wetu bado hajapumzishwa. Nililiweka kiporo. Ila kiukweli Magu alikuwa kama hostage anaomba msaada wa kuokolewa toka kwa mateka wake kwenye ile kideo.Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.
Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.
Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.
Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, lakini kuna dress code ya msiba. Wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.
Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.
- Jina la Kiongozi ni nani
- Kifo kimetokea lini
- Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
- Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
- Kama ni hospitalini, hospitali gani
- Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.
My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.
Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!
Hahaha tusubiri muda utasemaSiku inakuja mazishi yake mtangazaji yanaweza kufanana kama ya mbwa wa joshua nasari.
(fasihi imehusika)
Magufuli katangaza msiba wa rais mstaafu kama msiba wa msela wa bar.Ukiona jinsi Mkapa na sumaye walivotangaza musiba wa Nyerere Tena kavaa official na wimbo wa taifa ukapigwa ilionyesha u serious wa tukio Mimi kuona mheshimiwa anatangaza ya Mkapa I thought was a joke kwa kweli,hyo kurugenzi wajiangalie
nasisitiza tu "TUCHAPE KAZI"Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.
Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.
Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.
Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, lakini kuna dress code ya msiba. Wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.
Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.
- Jina la Kiongozi ni nani
- Kifo kimetokea lini
- Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
- Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
- Kama ni hospitalini, hospitali gani
- Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.
My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.
Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!
Kura moja kaweWanabodi,

Nilishangaa kuona socket za umeme nyuma yakeHata mm niliona kama hakujiandaa as if ametoka kugegedana chap akaibukia live kutangaza kifo. Proper way ingekuwa SAA 12 ASUBUHI AKIWA SAMBAMBA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WENGINE. ILE AMEKAA KWENYE SOFA LAKE LA CHUMBANI HAIKUWA SAWA.
NAUNGA MKONO HOJA.
Hizo taarifa muhimu na sheria inatamka wazi wazi kuwa rais rasmi aseme mahali alikofia na sababu za kifo chake.Mimi kwangu sina tatizo na muda hata kama ingekuwa saa nane usiku lakini shida ni namna tangazo lenyewe lilivyotolewa mfano kuna haja gani ya kuficha hospitali alipofia na hata maradhi unaweza kusema hilo ni la familia lakini mtu akiwa kiongozi tena kiongozi mkuu huyu familia yake ni pamoja na wale anaowaongoza hivyo kuna umuhimu wa kujua kipi kimemsibu kiongozi wao sasa umeona hata ule mtiririko wa tangazo lenyewe ni kama alikuwa anababaika kwa kuruka ruka maeneo fulani fulani ambayo eti yeye aliona haikustahili kuwekwa bayana.
Simlaumu Mh. Rais katika hili, kwake ilikuwa ni shocking news alipaswa kufarijiwa kwanza na kuandaliwa vema kabla hajatangaza rasmi msiba huo mkubwa. Kwa tuliokwishafiwa watu muhimu ndani ya family tunalitambua vema hili.Magufuli katangaza msiba wa rais mstaafu kama msiba wa msela wa bar.
Hajafanya fair kabisa
Ila una vituko!!Inawezekana yote hayo alishauriwa ila Jiwe being Jiwe, aliamua kufanya kivyake. Inawezekana aliandaliwa sana na vile alivyoonekana ndio ilikuwa afadhari ya alivyokuwa mwanzo.
Labda waliona watangaze tu haraka kuepuka rumours spreading around kabla ya taarifa official.
Hospitali ya Dar es Salaam ni ipi ?Labda tumesikiliza clip tofauti mbona alisema mzee Mkapa kafia hospitali ya Dar Es Salaam automatic picha inayokujia ni Muhimbili.
Tatizo ni hawa waandishi wetu mtu anaanza fani mpaka anakaribia kumaliza udhani kama keshawai kukutana na jina Bronislow Malinowski au ata amewahi kushika kitabu chochote cha ‘social anthroplogy’ katika maisha yake kujiongeza kwenye kutafsiri matukio.
Ndio tatizo liliopo hapa hao wachambuzi ni kutokana na tafsiri zao; hila watu wa Ikulu jinsi walivyoitoa habari walizingatia symbolic significance ya raisi kuzungumza. Na big deal kiongozi wa nchi anapotekea usiku mnene. Hawa kukurupuka Ikulu walijua wanachofanya.
Pia Kwa Mila zetu za kiafrika sidhani mbwembwe zilikua ni necessary, after all haijaondoa fact kwamba kafariki na sio kila mmoja wetu analalamika jinsi alivyopata taarifa..waandishi wa habari nyie ndio mliosomea hayo Mambo ya proper presentation but the rest of us can not care less..NOTe; KAZI ya mkurugenzi wa mawasiliano pia hufanyiwa lobbying na ninadhani kila mwanahabari angependa kupata nafasi Ile na ikibidi Kwa kuonesha udhaifu wa incumbent.Pascal Mayalla,
Kwa mitandao ya sasa, mida ya saa kumi na mbili asubuhi hiyo isingekua taarifa tena kwa umma maana nchi nzima saa saba au nane ingekua imeshajua! Labda hii ingekua tamko tu la rais ila sio taarifa!
Kuna mida codes tupa kule.