Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Hata mm niliona kama hakujiandaa as if ametoka kugegedana chap akaibukia live kutangaza kifo. Proper way ingekuwa SAA 12 ASUBUHI AKIWA SAMBAMBA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WENGINE. ILE AMEKAA KWENYE SOFA LAKE LA CHUMBANI HAIKUWA SAWA.

NAUNGA MKONO HOJA.
Alafu wakamchukua video kwa camera ya simu.
 
Mkapa ni wa tz na sisi tuko tanzania na taratibu za tz ndizo tunazotaka
Raisi ni taasisi; na taasisi kwenye kutoa habari lazima izingatie namna gani habari yao itatafsiriwa.

Labda kwa waandishi wetu inaweza kuwa shida walichofanya ikulu.

Lakini kumuamsha raisi usiku ili tu atoe habari ya kifo cha aliekuwa kiongozi wa nchi in ‘real time’ yeye mwenyewe. Kwengine kote duniani symbolically Ikulu wameonyesha heshima kubwa na kuipa uzito wa kitaifa kifo cha Mkapa kwa watu aliowatumikia.

Hayo mengine story tu sijui sheria na namna Mkapa alivyotangaza kifo cha Nyerere; otherwise they did their best as far as those who can interpret the meaning of institutional reporting.
 
Kusema kafia katika hospitali na usiitaje hiyo hospitali halafu eti mimi nijue hiyo hospitali lazima itakuwa ni Muhimbili sio sahihi tukubali tu Mheshimiwa aliteleza na siamini kama wasaidizi wake wote nao walipitiwa ila tatizo bwana mkubwa kila kitu anajua yeye na yeye ndio yupo sahihi hivyo hataki kurekebishwa, kwa maoni yangu kakosea kwani kulikuwa hakuna sababu ya kuficha hospitali alipofia na maradhi yaliyomsibu
Ina maana mpaka sasa hujui kafia wapi or how long did it take you to learn that.

It was a developing story mengine yanafuata kadri muda unavyosogea.

Ulishaambiwa hospital Dar inatosha labda awakutaja kwa sababu maalum pengine watu wangeweza jazana hospitali usiku wa manane na hakukuwa na security (for crowd control purposes) who knows the exact reasons.

Ikulu awakukurupuka kwa hili wameonyesha weledi mkubwa sana.
 
Ulitaka akae kimya ili Kigogo ndo atangulie kupost? Umefeli sana. Mambo ya dressing code tupa kule, hayawezi kumfufua marehemu. Honera sana JPM kwa uwazi.
😲😲😲😲 Uwazi upi. Sifia sifia zitaachwa lini?!!? Mwenyewe juzi kati kawaumbua mnaomsifia na kutaka kumfurahisha. Bado hamjakoma tu!
 
Huwaga unakuwa na Point za kisomi sema tatizo wajumbe wengi wa CCM hawana elimu wao hawajui chambua code kabisa.

Nafasi nzuri ni Mzee baba akuteuwe ndo waeza julikana
Kikao cha ghafla cha wajumbe tumekujadili. Maadhimio ni Ole wako siku utakayoomba ridhaa kugombea jimbo au kata basi utajua hatuna elimu.
 
Hakuna weledi uliotumika, eti watu wajazane hospitali ili iweje? Waende kuiba mwili wa marehemu, Narudia tena kwa maoni yangu kuchemsha wala sikulazimishi ukubaliane na mimi kwani kila mtu ana utashi wake.
Ndio tatizo lako unachukulia kifo cha raisi poa; wasanii tu wakifa hospital inajaa mpaka, seuse raisi.

Mambo mengine kubishana tabu sasa raisi afiche hospital wakati muda mfupi kila mtu atajua ili iweje.

Kama ulivyosema kila mtu abaki na mtazamo wake be it wako sio sahihi.
 
Ina maana mpaka sasa hujui kafia wapi or how long did it take you to learn that.

It was a developing story mengine yanafuata kadri muda unavyosogea.

Ulishaambiwa hospital Dar inatosha labda awakutaja kwa sababu maalum pengine watu wangeweza jazana hospitali usiku wa manane na hakukuwa na security (for crowd control purposes) who knows the exact reasons.

Ikulu awakukurupuka kwa hili wameonyesha weledi mkubwa sana.
Umeandika utopolo hatari
 
Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.

Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.

Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.

Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.

Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, lakini kuna dress code ya msiba. Wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.

Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6, likianza na National Anthem na kumalizika na National Anthem.
  1. Jina la Kiongozi ni nani
  2. Kifo kimetokea lini
  3. Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
  4. Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
  5. Kama ni hospitalini, hospitali gani
  6. Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taratibu za tangazo muhimu kama hilo ikiwemo wimbo wa taifa, na taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.

Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.

My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.

Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.

Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.

Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.

Paskali

Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!

Duh kaka Paskali, sasa hapa si utataka Gerson Msigwa afukuzwe kazi.. 😅 Makosa yapo tu, ujue msiba mkubwa kama huu huwa hakuna Official known reporting standard ya kuutangazia umma wa watanzania na dunia nzima, kuna ku panic, maumivu ya watoa taarifa, na kumbuka wangechelewa hadi 12 asubuhi ujue watu wengine labda wangepata taarifa kabla na kuanza kutoa mitandaoni.. Mm binafsi naona tusiangalie sana kuwa perfect, sote tumepata taarifa na tumeelewa na tumeupokea msiba kwa masikitiko makubwa sana ni wetu sote. Mengine tumuachie Mungu.
 
kwa hiyo ilitakiwa make up, suti nyeusi, na bla bla nyingi tu kutangaza msiba?

Bwana hayo yoote marehemu hatuoni na wala hawezi fufuka

RIP BWM
 
Wewe sasa ndiye mwenye tatizo mimi nimesema ni maoni yangu na wala silazimishi mtu lakini wewe ni kama unalazimisha nikubaliane na uonavyo wewe,labda nikwambie kitu uenda wewe unaona sisi tunaokosoa namna tangazo lilivyotolewa ni kama tunamkosea heshima Rais lakini kumbuka huyo sio malaika bali ni binadamu kama wengine na yeye ana mapungufu yake ndio maana umewekwa utaratibu wa kuwa na washauri hivyo isiwe nongwa pale mtu mwingine anapokuwa na mtazamo tofauti na Rais,mimi naamini nipo sahihi na wewe upo sahihi lakini kwa mtazamo wako.
Haya upo sahihi siku nyingine akipigiwa simu za msiba usiku avute shuka alale nimekupata mpaka asubuhi asubiri ndege imfikishe waziri mkuu huko alipo na mama samia wavae suti nyeusi, waite vyombo vya habari japo wao sio medics waliomtibu waelezee msiba wakiulizwa medical condition za marehemu sijui kama wanazijua; si ndio.

You are 100% mchana mwema.
 
Excellent article 👊🏽 but remember that you’re dealing with MKURUPUKAJI ambaye HASHAURIKI hivyo kuna uwezekano mkubwa lawama zako ziko misplaced.

Back
Top Bottom