ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Unaona sasa....!!Na wanarusha muda wa taarifa ya habari, familia yote iko hapo inaangalia.
Binti ana umri gani?Jamani, ni kweli tuko kwenye utandawazi lakini haya matangazo yamezidi ukali utasikia Kondomu ina vidoti inanukia inaongeza utamu au yule binti yuko chooni analia damu zimemtoka ghafla hana Pedi mambo hayo yanatia ukakasi au ni ushamba wangu tu ndo unanisumbua.
macho yote wameelekeza kwa uchaguzi, hata lile tangazo la "mwalimu ananitongoza kila nikienda shuleni" linanikera sana.TCRA Kimya
Ingawa Macho Wanayo
Mengine Ni Aibu Sana
Enzi hizo!! hiyo shopRite ina miaka mingapi toka ijengwe au hujui maana ya "enzi hizo"Hutaamini lkn ni kweli. Kuna jamaa yangu tukiwa ShopRite enzi hizo mlimani city, alipigiwa simu na binti yake wa kumzaa aliye form tuu kwamba asisahau kumletea taulo za kike. Na lijamaa akapeleka kweli.
Enzi hizo nchi ikiwa na maadili mmama akienda dukani alikua anasema. Naomba biscuti ya Dada. Siku hiziiiii......h
Huyo asipojua umri huo atajua lini?! Na umri huo unatatizo gani?!Lakini sio kwa mtoto wa miaka saba mkuu
Ajabu Wanasema Matangazo Yanapitiwa Ndiyo Yanarushwa Sijui Wanakwama Wapimacho yote wameelekeza kwa uchaguzi, hata lile tangazo la "mwalimu ananitongoza kila nikienda shuleni" linanikera sana.
Linawadhalilisha walimu sana, imagine mzee ni mwalimu half mpo wote mnaangalia hilo tangazo utajiskiaje au mzee atajiskiaje.macho yote wameelekeza kwa uchaguzi, hata lile tangazo la "mwalimu ananitongoza kila nikienda shuleni" linanikera sana.
TCRA Kimya Utafikiria Haipo Hapa Dodoma, Halioni Hilo TangazoLinawadhalilisha walimu sana, imagine mzee ni mwalimu half mpo wote mnaangalia hilo tangazo utajiskiaje au mzee atajiskiaje.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Condom inavipele vinavyo kuna vizuri, hivyo itakufanya kuongeza radha ya tendo" mixer brah brah nyingine kibao
Aah babu! Kuna maneno mengine kwenye matangazo yanaleta ukakasi sana, hii ikinikutaga na washua huwa natamani ardhi ipasuke niingie kujifisha.....
Labda ni ushamba wetu mimi na mtoa mada
Wakati nipo sekondari baba yangu alikuwa ananinunulia pedi, lakini si kwa kumtamkia kwa mdomo ni ile ikifika kipindi cha kufungua shule naandika list ya mahitaji na pedi ikiwemo ananiletea bila shida yoyote.Hutaamini lkn ni kweli. Kuna jamaa yangu tukiwa ShopRite enzi hizo mlimani city, alipigiwa simu na binti yake wa kumzaa aliye form tuu kwamba asisahau kumletea taulo za kike. Na lijamaa akapeleka kweli.
Enzi hizo nchi ikiwa na maadili mmama akienda dukani alikua anasema. Naomba biscuti ya Dada. Siku hiziiiii......h
Aisee hii tamthilia ni shida. Niseme ukweli kuwa ni nzuri sana sana ina story nzuri.Kuna tamthilia inaitwa panguso duh!! Wanaume wanaitana majina ya kike, kuna siku niko na familia kuna sehemu jamaa anazungumzia mwanamme kushughulikiwa huku akirekodiwa, sitaki kuangalia tena.
Hebu tuondolee ubishoo wako hapa...sie ving'amuzi vyetu havina hayo makitu ebo!Nyie watu mnachekesha sana.
Ukiwa unaangalia movie pale juu huwa wanaweka kabisa rating .
Kwa mfano utakuta wameandika 18 SNLV maana yake hiyo movie iangaliwe na watu wazima kuanzia miaka 18 na ina contain Sex, Nudity, Strong Language na Violence ,,sasa wewe movie kama hiyo utakaa uangalie na mwanao kweli? Utakua huna akili
Movie za kuangalia na watoto na mama mkwe ni ambazo zimeandikwa FAM au G ikiwa na maana ya suitable for family and general audience
Kuhusu matangazo ni kweli matangazo hayo ya condom na pedi huwa yanaleta ukakasi sana
Kakosea wapi?Enzi hizo!! hiyo shopRite ina miaka mingapi toka ijengwe au hujui maana ya "enzi hizo"
Lakini sio kwa mtoto wa miaka saba mkuuElimu ya afya haipaswi kuonewa aibu, ni vyema watoto Wakaona na ikibidi waulize na maswali.
Huna mtoto wala familiaHuyo asipojua umri huo atajua lini?! Na umri huo unatatizo gani?!
KigwangalaEnzi hizo!! hiyo shopRite ina miaka mingapi toka ijengwe au hujui maana ya "enzi hizo"
Wewe unazungumzia mambo ya nje, ni tamthili au sinema zipi zinazoonyeshwa katika channel ya sinema zetu ushawahi kuona wameandika au hata kutangaza kwamba itazamwe na watu wa umri gani?Nyie watu mnachekesha sana.
Ukiwa unaangalia movie pale juu huwa wanaweka kabisa rating .
Kwa mfano utakuta wameandika 18 SNLV maana yake hiyo movie iangaliwe na watu wazima kuanzia miaka 18 na ina contain Sex, Nudity, Strong Language na Violence ,,sasa wewe movie kama hiyo utakaa uangalie na mwanao kweli? Utakua huna akili
Movie za kuangalia na watoto na mama mkwe ni ambazo zimeandikwa FAM au G ikiwa na maana ya suitable for family and general audience
Kuhusu matangazo ni kweli matangazo hayo ya condom na pedi huwa yanaleta ukakasi sana
ππππ"Condom inavipele vinavyo kuna vizuri, hivyo itakufanya kuongeza radha ya tendo" mixer brah brah nyingine kibao
Aah babu! Kuna maneno mengine kwenye matangazo yanaleta ukakasi sana, hii ikinikutaga na washua huwa natamani ardhi ipasuke niingie kujificha.....
Labda ni ushamba wetu mimi na mtoa mada