ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Nyie watu mnachekesha sana.
Ukiwa unaangalia movie pale juu huwa wanaweka kabisa rating .
Kwa mfano utakuta wameandika 18 SNLV maana yake hiyo movie iangaliwe na watu wazima kuanzia miaka 18 na ina contain Sex, Nudity, Strong Language na Violence ,,sasa wewe movie kama hiyo utakaa uangalie na mwanao kweli? Utakua huna akili
Movie za kuangalia na watoto na mama mkwe ni ambazo zimeandikwa FAM au G ikiwa na maana ya suitable for family and general audience
Kuhusu matangazo ni kweli matangazo hayo ya condom na pedi huwa yanaleta ukakasi sana