Mkuu hapo kwenye utambuzi wa herufi nadhani hujafatilia vizuri, ila hata huko kenya wao wana tumia neno KRA, Uganda ni URA kama mamlaka zao za kodi hivyo hiyo ni sambamba na utifaq ya utaifa wetu kwenye utambuzi wa kimataifa kwamba na vyombo halali na vyenye mamlaka ya kukusanya kodi za mataifa hayo kisheria ni hizo na zitambulike kwa uratibu huo kuonyesha uhalisia wa Taifa husika lakini pia kuondoa hujuma na upotoshaji kwa watu wengine juu ya uhalali wa vyombo hivyo kwa mtu yeyote, kwamba hizo herufi zita onyesha uhalisia wa kweli kwenye taifa juu watu kujua wapi kodi zina lipwa na kwa utaratibu upi pamoja na mamlaka yapi kisheria.