official pascal
New Member
- Jun 23, 2023
- 4
- 1
Unapotosha watu ajira zote za serikali zinazotangazwa kwa public huwa majib yake yatawekwa public hata kam yatakuw na udanganyifu gan lazima yawekwe hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hii kitu co 7bu ajira za serikali hutangazwa wazi na majib yake hutoka wazi co taasis binafsi hiyoMkuu ni kweli....wameita watu kupitia njia hiyo, yote ni kuficha majina ya watoto wa vigogo na ndugu wa watumishi wa TRA.
Dogo acha ubishi, watu wameshaitwa kazini tarehe 8 wanaenda kusaini mkataba.Unapotosha watu ajira zote za serikali zinazotangazwa kwa public huwa majib yake yatawekwa public hata kam yatakuw na udanganyifu gan lazima yawekwe hadharani
Bot walitangaza kazi hivi karibuni na wakaajiri, uliona majina public?
.
Yes tayari, mdogo wangu ni miongoni mwa walioitwa.
Co kwel naongea with confidence 7bu source yangu ya kupata information ni relevant na sibahatishiDogo acha ubishi, watu wameshaitwa kazini tarehe 8 wanaenda kusaini mkataba.
Wewe endelea kusubiri yawekwe public utasubiri sana.
Hiyo ya lazima ndio naisikia kwako, sijui iko kwenye sheria ipi.
Bot walitangaza kazi hivi karibuni na wakaajiri, uliona majina public?
Endelea kusubiri yawekwe public kiongozi.
Sasa si bora wao Email, wengine waliitwa practical Interview Kwa sms...Hakuna mtu kaitwa kazini. Periodt, hizi ni rasha rasha...na ukiona hivi ujue jamaa wamekaribia kuachia mkeka wao
Mkuu hiyo ndio shida....wengi walio tumiwa email wengine hata hawajafanya interview ya Oral.....Sasa si bora wao Email, wengine waliitwa practical Interview Kwa sms...
Ila mimi Naona Bora wasitoe Majina Maana wakitoa majina ,kuna watu wana Pdf ya walioitwa Interview wataangalia na Pdf ya Walipata...So wata cross check waangalie mapungufu...
Tatu; kuna majina ambayo either mwisho yana ubini na wa viongozi lazima italeta shida...So walichotumia Tra ni busara.
Mkuu hiyo ndio shida....wengi walio tumiwa email wengine hata hawajafanya interview ya OralSasa si bora wao Email, wengine waliitwa practical Interview Kwa sms...
Ila mimi Naona Bora wasitoe Majina Maana wakitoa majina ,kuna watu wana Pdf ya walioitwa Interview wataangalia na Pdf ya Walipata...So wata cross check waangalie mapungufu...
Tatu; kuna majina ambayo either mwisho yana ubini na wa viongozi lazima italeta shida...So walichotumia Tra ni busara.
Sasa wakiweka majina mtawajua ,sasa bora itumike busara ya hivyo...Mkuu hiyo ndio shida....wengi walio tumiwa email wengine hata hawajafanya interview ya Oral
ngoja tareh 8 ifike ndo utajua kama ni kweli au si kweliHakuna mtu kaitwa kazini. Periodt, hizi ni rasha rasha...na ukiona hivi ujue jamaa wamekaribia kuachia mkeka wao
Hakuna mtu kaitwa kazini. Periodt, hizi ni rasha rasha...na ukiona hivi ujue jamaa wamekaribia kuachia mkeka wao
Wanafanya mambo gizani aisee.Yes tayari, mdogo wangu ni miongoni mwa walioitwa.
Noma sanaWanafanya mambo gizani aisee.
Sijui wanaona kuna shida gani kutangaza public.
endelea ivyo ivyo kaa kwa kutulia taree nane njoo jkt hall mwengeHakuna mtu kaitwa kazini. Periodt, hizi ni rasha rasha...na ukiona hivi ujue jamaa wamekaribia kuachia mkeka wao