Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

Zote mkuu. Kama hujapata email hadi sasa consider yourself unsuccessful mkuu.
Mmh mbona kuko kimya sana mkuu sioni lolote kwenye mitandao...hizo email ni za kwelii?nina mashaka nazo mkuu em fuatilia vzr
 
Zote mkuu. Kama hujapata email hadi sasa consider yourself unsuccessful mkuu.

Samahani mkuu. We unajuaje kama kada zote wametumiwa . Kwamba Uko na mawasiliano na watu wa kada zote Au Embu tusaidie umepataje hizo taarifa
 
Aisee em atusaidie hiz taarifa zina ukakasi mnoo
 
Najaribu kuwaza . Tax officer tu walikuwa wanahitajika watu 200 na .. Kwahyo wameona njia rahisi ni kutumia email mmoja mmoja Kuliko kutoa list ya majina mmmh
 
Hili jambo linafikirishaa
 
Najaribu kuwaza . Tax officer tu walikuwa wanahitajika watu 200 na .. Kwahyo wameona njia rahisi ni kutumia email mmoja mmoja Kuliko kutoa list ya majina mmmh
Hakuna kinachoshundikana kuhusu kutuma Kwa njia ya Email , japo mm pia sielewi huu utaratibu WA email km zimetoka kwenye TRA kweli.
 
Najaribu kuwaza . Tax officer tu walikuwa wanahitajika watu 200 na .. Kwahyo wameona njia rahisi ni kutumia email mmoja mmoja Kuliko kutoa list ya majina mmmh
written tu watu wote walitumiwa email sembuse hao tu
 
Haiwezekani hio kitu...zile email za kuitwa kwenye interview zilikua auto-generated kulingana na kada uliyoomba. I mean watu wengi mostly waliitwa hata kama haukua na qualification kwa position hio. Kwa hio ukisema wametuma email kwa kila mtu aliepita, hio sio kweli. Yani waje waanze tafuta kila mtu aliepita oral waitafute email yake afu ndo atumiwe ujumbe. Never to happen hio
Mkuu ni kweli....wameita watu kupitia njia hiyo, yote ni kuficha majina ya watoto wa vigogo na ndugu wa watumishi wa TRA.
 
Back
Top Bottom