Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

Naichukia hii taasisi kuliko kitu chochote duniani ni taasisi hovyo hovyo na yenye kuwafanya Watanzania waendelee kuwa maskini. Natamani siku moja jengo lao lije lilipuke pale makao makuu wafe wote
Wewe ni radical person kwa dua hiyo, Mungu akutazame.
 
Nina uhakika 100% kuwa usahishaji wa tax management officer haukua fair.
Generally paper yenyewe ilikua na makosa ya uchapishaji mengi tu mfano time allowed iliandikwa 70mins (ninty minutes)
Title ya paper yenyewe pia ilikosewa kuandikwa Ila.
a) Overall assemment kwenye procedures and examination conducts ilikua hovyo there were 90% chances mtu kumfanyia mwenzie mtihani especially kwa experience nilipofanyia mtihani Udom Auditorium Cive vyeti vilihakikiwa venue nyingine pamoja na ID Kisha watu waanza kumarch mmoja mmoja kwenda venue nyingine nahuko watu waliingia na hawakukaguliwa chochote si Identity card Wala simu.
b) Watu wa sehemu mbalimbali walifanya mtihani mmoja kwa mida tofauti hivyo uwezekano mkubwa Sana mtihani ulivuja.
Kwa upande wa mtihani haukua ngumu multiple choice zilikua based on residential status charitable organisations na vitu vingine elementary ambavya vingi nilikua familiar.
Explanation based questions zilikua rahisi mno. Mtihani weakness ni mtihani haukua na sehemu za kutosha za majibu ambayo ni extremely bias kwasababu watu wanatofautiana miandiko pia ilikua based on listing rather than explaining concepts ambayo majority ya watu naamini wameweza kulist. Specifically kwa case yangu all questions were easy na computation ya National Income, condition za kutumika presumptive tax, input vat claimability, reason za jeopardy assessment, reason za appeals of which najua majority wamezipata na ilikua kuandika maneno machache tu. I don't get the point of seeing such scores in this exams.
Lastly, Kuna watu wamefaulu lakini wameandikiwa irrelevant qualification how on earth did you give call them for written interview in first place na mnajua hamuwahitaji? It's great vivid internal control deficiency.
In my personal view, TRA bado bado hawana efficiency ya kuendesha interview compared to Utumishi.
Kwanza walichelewesha mitihani. Nahisi apa walipanga jambo lao
 
Jamani mbona mtihani ulikuwa mrahisi matokeo yametoka tofauti na nilivyotegemea kama kuna hujuma TRA Mungu anawaona wallahi
 
Kila kitu kina mda na wakat.....kama una hofu ya Mungu moyoni mwako bhasi utajipa moyo na kusonga mbele.....na siku zote mtihani ukiwa mrahc bhasi utakuangusha mana tayar unakua na matokeo yako kichwani......songa mbele bado fursa zipo sisi wengine tulikatwa wakati wa kuitwa written na tunavigezo vyote lakn tulisema khasante Mungu kwa kila kitu mana wew ndo unajua yote!
 
Maisha magumu, biashara ngumu ajira nazo ngumu. Ukisema usubiri wakati ufike umri nao unaenda. Hujajenga huna familia. Unasubiri ajira. Ajira zenyewe zinatolewa kwa kujuana
 
Hutakiwi kutumia hasira....kazi hazipo TRA peke ake...hata kama ungepita oral kama wakati bado haujafka bhac usingetoboa pia..... keep on praying Mungu hawai wala hachelewi.
 
Ndo maana mi sikwenda aisee[emoji3][emoji3]pia tujitahidi kwenye Koo zetu kushika position za juu na kupeana connection,ndo system ya bongo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo position ili ushike si ndio lazima uingilie huku sasa, na ndio wanabana
 
Nina uhakika 100% kuwa usahishaji wa tax management officer haukua fair.
Generally paper yenyewe ilikua na makosa ya uchapishaji mengi tu mfano time allowed iliandikwa 70mins (ninty minutes)
Title ya paper yenyewe pia ilikosewa kuandikwa Ila.
a) Overall assemment kwenye procedures and examination conducts ilikua hovyo there were 90% chances mtu kumfanyia mwenzie mtihani especially kwa experience nilipofanyia mtihani Udom Auditorium Cive vyeti vilihakikiwa venue nyingine pamoja na ID Kisha watu waanza kumarch mmoja mmoja kwenda venue nyingine nahuko watu waliingia na hawakukaguliwa chochote si Identity card Wala simu.
b) Watu wa sehemu mbalimbali walifanya mtihani mmoja kwa mida tofauti hivyo uwezekano mkubwa Sana mtihani ulivuja.
Kwa upande wa mtihani haukua ngumu multiple choice zilikua based on residential status charitable organisations na vitu vingine elementary ambavya vingi nilikua familiar.
Explanation based questions zilikua rahisi mno. Mtihani weakness ni mtihani haukua na sehemu za kutosha za majibu ambayo ni extremely bias kwasababu watu wanatofautiana miandiko pia ilikua based on listing rather than explaining concepts ambayo majority ya watu naamini wameweza kulist. Specifically kwa case yangu all questions were easy na computation ya National Income, condition za kutumika presumptive tax, input vat claimability, reason za jeopardy assessment, reason za appeals of which najua majority wamezipata na ilikua kuandika maneno machache tu. I don't get the point of seeing such scores in this exams.
Lastly, Kuna watu wamefaulu lakini wameandikiwa irrelevant qualification how on earth did you give call them for written interview in first place na mnajua hamuwahitaji? It's great vivid internal control deficiency.
In my personal view, TRA bado bado hawana efficiency ya kuendesha interview compared to Utumishi.
Ilikuwa kukamilisha ratiba tu hyo mitihani
 
Vipi jaman mbona matokeo kimya au watu wameshaitwa kazini ?
 
Back
Top Bottom