TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
TRA Tanzania sasa ni kuitana nyie na wapwa zenu tuMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu waombaji kazi waliofaulu mtihani wa mchujo na kuchaguliwa kwa ajili ya usahili wa vitendo na mahojiano unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba, 2023 hadi tarehe 2 Novemba,2023.View attachment 2788199
Mkuu hapo kwenye utambuzi wa herufi nadhani hujafatilia vizuri, ila hata huko kenya wao wana tumia neno KRA, Uganda ni URA kama mamlaka zao za kodi hivyo hiyo ni sambamba na utifaq ya utaifa wetu kwenye utambuzi wa kimataifa kwamba na vyombo halali na vyenye mamlaka ya kukusanya kodi za mataifa hayo kisheria ni hizo na zitambulike kwa uratibu huo kuonyesha uhalisia wa Taifa husika lakini pia kuondoa hujuma na upotoshaji kwa watu wengine juu ya uhalali wa vyombo hivyo kwa mtu yeyote, kwamba hizo herufi zita onyesha uhalisia wa kweli kwenye taifa juu watu kujua wapi kodi zina lipwa na kwa utaratibu upi pamoja na mamlaka yapi kisheria.Samahani ndugu muanzisha thread, mbona naona kwenye kifupi “TRA” tayari neno Tanzania lipo! Nashauri mfanye mabadiliko kidogo, nyinyi ni Taasisi kubwa kufanya makosa madogo madogo kama haya ni bora ibaki user name inayosomeka “TRA” au muongeze maneno yoyote sio kurudia Tanzania wakati herufi “T” tayari ipo na inamaanisha Tanzania.
Ina sound kama vile kuna TRA Kenya au TRA Uganda kumbe si kweli, TRA ipo Tanzania tu!
Mkuu hapo kwenye utambuzi wa herufi nadhani hujafatilia vizuri, ila hata huko kenya wao wana tumia neno KRA, Uganda ni URA kama mamlaka zao za kodi hivyo hiyo ni sambamba na utifaq ya utaifa wetu kwenye utambuzi wa kimataifa kwamba na vyombo halali na vyenye mamlaka ya kukusanya kodi za mataifa hayo kisheria ni hizo na zitambulike kwa uratibu huo kuonyesha uhalisia wa Taifa husika lakini pia kuondoa hujuma na upotoshaji kwa watu wengine juu ya uhalali wa vyombo hivyo kwa mtu yeyote, kwamba hizo herufi zita onyesha uhalisia wa kweli kwenye taifa juu watu kujua wapi kodi zina lipwa na kwa utaratibu upi pamoja na mamlaka yapi kisheria.
siyo kila mtu anafahamu kuwa TRA ni Tanzania Revenue Authority ndiyo maana kiundishi aliyeandika kaweka Tanzania Revenue Authority ndani ya mabano (TRA) ili msomaji ajue maana ya TRA ni nini ? Inawezekana kuna watu nao wanajiita tra lakini wakawa na maana tofauti na hawa wa kodi hivo mwandishi yupo sawa kabisa kuondoa hiyo sitofahamu.Mkuu, nimekuelewa na ukipata nafasi nashauri uyapitie tena maelezo yangu utanielewa zaidi. Kirefu cha TRA ni Tanzania Revenue Authority. Pata picha mtu aandike Tanzania Revenue Authority Tanzania, huoni kuna makosa japo ni madogo sana?
Duh pole sana mkuu, walikufanya nini, wasamehe bure hawajui walitendaloNaichukia hii taasisi kuliko kitu chochote duniani ni taasisi hovyo hovyo na yenye kuwafanya Watanzania waendelee kuwa maskini. Natamani siku moja jengo lao lije lilipuke pale makao makuu wafe wote