Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Kweli nimekua muasi.
Yaani leo ndio naona uzi? Aisee ngosha kabana inabidi nijiongeze nisije nikatusuliwa.

Ila nimeitika jana na leo. Tupo pamoja.
 
Kweli nimekua muasi.
Yaani leo ndio naona uzi? Aisee ngosha kabana inabidi nijiongeze nisije nikatusuliwa.

Ila nimeitika jana na leo. Tupo pamoja.
Karibu na Asante kwa kutuondoa khofu... tulimiss mtutu huo maana wengine sie wa Kigoma tukiona lile sanamu la Posta huwa tunanyoosha mikono juu... hands up
 
Tatizo lako unakuja kwa kunyata kama unamnyatia mwali, kumbe unalinyatia jitu lililokula chumvi na bahari yake.
Hukusema sasa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji175] [emoji175] [emoji173]
 
Cc Wambuzi na uzi wake wa "wamwisho ndo mshindi" mpk leo mshindi ajapatikanagaa ..kuona ivo kaamua kupotea mazimaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…