Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Kweli nimekua muasi.
Yaani leo ndio naona uzi? Aisee ngosha kabana inabidi nijiongeze nisije nikatusuliwa.

Ila nimeitika jana na leo. Tupo pamoja.
Wadau kuna member humu huwa na michango sana na hufanya jukwaa kuwa zuri sometimes au baya sometimes ila kuna hali fulani ya kusahaulika mapema mno je mada zao wanazochangia zinawafanya wawe maarufu zaidi kwa kutajwa tajwa kuwaquoted n.k ila akipotea like mwezi mmoja hivi ana sahaulika kabisa, na akirejea watu hustushwa kabisa...kana kwamba ni mgeni

Mfano: Nyamayao ,
King'asti maudhurio yake si mazuri tena ,
Kongosho , haeleweki
Rejao , Siasa zilimshinda karejea kijijini
zombe , nadhani kastaafishwa kazi
Superman mzee wa Siri za Familia huyu nadhani majukumu yamembana
Le Mutuz ,
NasDaz Mzee wa Darhotwire ,
figganigga mzee wa mia
Rutashubanyuma huyu nafasi yake imechukuliwa na Ruttashobolwa
MaxShimba au ndo kazama jukwaa la dini
Kiranga nadhani aliaga na keshasahaulika tayari ,
Kuna Malaria Sugu huyu alijiapiaza kutorejea tena jf japo nae alipigwa lifeban
Lizee Mwanakijiji tokea alivyoanza kuwa na mawazo ya kizee ya ajabu watu wanampotezea kabisa..
kuna gfsonwin huyu akija leo basi hadi mwezi uishe
Watu8 huyu sijui tuseme tu rip?
na yule Bishanga ndio kabisa last seen yake ni 2014
Invisible pia sioni michango yake this days sijui nini kimempata - kimsemo chake cha (Ficha Upumbavu wako)
wengine nikiwakumbuka nitawataja
 
Kweli nimekua muasi.
Yaani leo ndio naona uzi? Aisee ngosha kabana inabidi nijiongeze nisije nikatusuliwa.

Ila nimeitika jana na leo. Tupo pamoja.
Karibu na Asante kwa kutuondoa khofu... tulimiss mtutu huo maana wengine sie wa Kigoma tukiona lile sanamu la Posta huwa tunanyoosha mikono juu... hands up
 
Tatizo lako unakuja kwa kunyata kama unamnyatia mwali, kumbe unalinyatia jitu lililokula chumvi na bahari yake.
Hukusema sasa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji175] [emoji175] [emoji173]
 
Cc Wambuzi na uzi wake wa "wamwisho ndo mshindi" mpk leo mshindi ajapatikanagaa ..kuona ivo kaamua kupotea mazimaa
 
Back
Top Bottom