Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Mmmh, sio kwa kunimiss hukoHahaa!!
Na mie nilikumiss wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh, sio kwa kunimiss hukoHahaa!!
Na mie nilikumiss wewe
[emoji1] [emoji1]Mmmh, sio kwa kunimiss huko
Poa mwayaa, mie nipo nimejaa tele[emoji1] [emoji1]
Kweliiii
Wadau kuna member humu huwa na michango sana na hufanya jukwaa kuwa zuri sometimes au baya sometimes ila kuna hali fulani ya kusahaulika mapema mno je mada zao wanazochangia zinawafanya wawe maarufu zaidi kwa kutajwa tajwa kuwaquoted n.k ila akipotea like mwezi mmoja hivi ana sahaulika kabisa, na akirejea watu hustushwa kabisa...kana kwamba ni mgeni
Mfano: Nyamayao ,
King'asti maudhurio yake si mazuri tena ,
Kongosho , haeleweki
Rejao , Siasa zilimshinda karejea kijijini
zombe , nadhani kastaafishwa kazi
Superman mzee wa Siri za Familia huyu nadhani majukumu yamembana
Le Mutuz ,
NasDaz Mzee wa Darhotwire ,
figganigga mzee wa mia
Rutashubanyuma huyu nafasi yake imechukuliwa na Ruttashobolwa
MaxShimba au ndo kazama jukwaa la dini
Kiranga nadhani aliaga na keshasahaulika tayari ,
Kuna Malaria Sugu huyu alijiapiaza kutorejea tena jf japo nae alipigwa lifeban
Lizee Mwanakijiji tokea alivyoanza kuwa na mawazo ya kizee ya ajabu watu wanampotezea kabisa..
kuna gfsonwin huyu akija leo basi hadi mwezi uishe
Watu8 huyu sijui tuseme tu rip?
na yule Bishanga ndio kabisa last seen yake ni 2014
Invisible pia sioni michango yake this days sijui nini kimempata - kimsemo chake cha (Ficha Upumbavu wako)
wengine nikiwakumbuka nitawataja
Hivi haka kamasai kweli kalienda wapi nakumbuka alikuwa machachari sana MMUMasai dada
Karibu na Asante kwa kutuondoa khofu... tulimiss mtutu huo maana wengine sie wa Kigoma tukiona lile sanamu la Posta huwa tunanyoosha mikono juu... hands upKweli nimekua muasi.
Yaani leo ndio naona uzi? Aisee ngosha kabana inabidi nijiongeze nisije nikatusuliwa.
Ila nimeitika jana na leo. Tupo pamoja.
Nautafuta ule uzi siuoni, mods wamefanya yao nini!![emoji1] [emoji1]
Kweliiii
HahahaNautafuta ule uzi siuoni, mods wamefanya yao nini!!
Ule mlokuwa mmewakaba wachaga koo, mods ni wachaga sijui.Hahaha
Uzi upi huo!!?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji175] [emoji175] [emoji173]Tatizo lako unakuja kwa kunyata kama unamnyatia mwali, kumbe unalinyatia jitu lililokula chumvi na bahari yake.
Hukusema sasa