HahahaIsijekuwa wewe ni kaka yangu utafiti jamani?
Mhhhhh
Haya bwana.
Hivi unaandika mambo kama haya ina maana hujui tunavyoongea hapa sasa hivi founder wa JF yuko wapi???[emoji30] Au unajifanya kujitoa ufahamu??[emoji30]hvi mto ruvu walikuwa wangapi vile
Aaah
Sasa kausha na wewe,ujuaji ukiwa mwingi tuta haribu [emoji28]
kwani yuko wapiHivi unaandika mambo kama haya ina maana hujui tunavyoongea hapa sasa hivi founder wa JF yuko wapi???[emoji30] Au unajifanya kujitoa ufahamu??[emoji30]
Maisha tu haya ndugu yangu [emoji1]😀😀my frnd Iceman unanivunja mbavu aise...yani umeamua kukimbia madeni ya watu....
Soma hapa mkuu!![emoji30]kwani yuko wapi
ila lengo lao wanataka jamaa atoe data za watu kama wewe ambao wanataja taja issue za mto ruvu bila kuwa na ushahidi!!poa watamwacha tu soon, kuna kaupepo kana pita tu kwa sasa,japo siyo mzuri utatusababishia mafua,hatuna namna
ushahidi upi tena,kwani hakuna watu waliookotwa mto ruvu? na kwa sasa uchunguzi unaendela japo wamesha zikwaila lengo lao wanataka jamaa atoe data za watu kama wewe ambao wanataja taja issue za mto ruvu bila kuwa na ushahidi!!
Linapokuja suala la sheria neno ushahidi siyo rahisi kama unavyofikiri mkuu!!ushahidi upi tena,kwani hakuna watu waliookotwa mto ruvu? na kwa sasa uchunguzi unaendela japo wamesha zikwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mwenzake Paka Jimmy wa Ngarenaro. Wameadimika sana hawa 'team A Town'
Uncle BenUsajali mam ntakwambia tukiwa sehem private kdgo